Jamani is it true kuwa mikopo/grant kwa wanafunzi wa medicine huwa ni 100%. Nauliza hivyo maana private medical schools zina bei kubwa sasa wanatoa hela yote au wana sealing.
Nenda kwenye profile yako, then application for 2nd round, ingiza code ya chuo unachotaka, harafu confirm selection,
utofauti uliopo kwa new applicant na wale 2nd application ni kwamba pale...
jaman mbona list of selected student to join St joseph university dsm kwenye web yao majina ya waliochaguliwa
kujiunga na information system na network engineering siyaoni au kwangu peke yangu...
Kachaguliwa st John's ya dar (st mark's) BAF lakini yupo saut anapiga pre entry programme BBA in procurement anaomba ushauri aende wapi, na wapi kuna soko kubwa la ajira?
Naomba kufahamu,et pana tofauti kati ya hivi vitu,masters v/s postgraduate?kama ipo naomba niambiwe,sambamba na ufafanuzi wa kina kwenye maneno hayo.Ombi!
Oparation Sangara Mkoani Morogoro imekutana na shule yenye wanafunzi 652 na Mwalimu mmoja tu. Shule hiyo ipo katika Kijiji cha Kadodo Kata ya Luale, Mvomelo Mkoani Morogoro. Hii ndo hali halisi...
jaman naomben msaada mimi nilisoma HGE na nili fell bam o and a lavel af wakanichagulia bach. science in agricultural economica and agrobisness SUA vip kwanai hii mambo ina mahesabu sana?
Kuna fucult zifuatazo zinanipa kiwewe kuzielewa....
1.Bachelor of Arts in Education
2.Bachelor of Education in Arts
ipi inayobeba somo 1 la kufundishia?
Wadau hebu tujuzane hapa. kwa kiasi fulani mimi ni mdau wa hizi mambo from web za torrentz, nlichosikia kwa baadhi ya watu ni kwamba hizi webs zina alot of malwares thats why walio wengi...
heshima yako.
mimi ni mhasibu nipo Korogwe napenda kufanya mitihani ya Bodi nikianzia module E, tatizo nililokuwa nalo kwa mkoa wa Tanga hakuna review center; kwa maeneo ya mikoa jirani kama DSM...
Walimu walio wengi walitegemea kushiriki ktk zoezi la sensa lakini kutokana na serekali kuwacha na kuchukuwa watu wa kada nyingind kwa kinachodaiwa ni kushiriki ktk mgomo kwa maoni yangu kama...