Haya sasa UNIVESITY OF DAR ES SALAAM wametoa selections zao
ingia hapa http://www.udsm.ac.tz/userfiles/2012-8-21-13-53-59_admissions%20direct%202012%202013.pdf
mliopata hongereni sanaaaa!!!
Hawa tcu wanacheza 2 con kama wanafanya kazi mara ur admitted baada ya muda eligible ukirefresh wanakupa na chuo ulichochaguliwa tatzo likaja kw wengine walio mbali na info tech mpk wanakuja...
Jamani naomba msaada kunabinamu yangu kachaguliwa chuo ambacho hakuomba ila kwenye Selection status yake ya chaguo la kwanza hajaandikiwa chochote ila chaguo la 2 hadi 8 kaandikiwa not...
Jaman waheshimiwa ni vizuri tufahamiane wote tunaoenda bukoba Saut ile tuanze kupunguza gharama za gesti pakufikia tuki lala wawili chumba kimoja sio mbaya waungwana apa sasa tutiririke....
Wakuu heshima mbele
kuna kadogo kangu, status bado inaonyesha not processed, siku chache zilizopita ilionyesha Admitted. Naomba namba ya TCU au mwenye ufahamu kuhusu nini inaweza kuwa tatizo...
Wakuu,nadhani tatizo kama langu limewapata wengi,niliomba vyuo kulingana na uwezo wangu,na anaeni spons yupo dar,na anataka niwe pale ili asiingie cost kubwa katka kunisaidia kimaisha,lakini cha...
Nataka kujua hivyo kwasababu mdogo wangu kapelekwa IFM ambako hakuomba kabisa, na hakuna kozi hata moja alizoomba.
kama ndo hivyo kulikuwa na ulazima wa kuomba vyuo na kuchagua kozi, huu usumbufu...
upi ni ukweli kuhusu TCU jamani? nimeangalia zaid ya applicants 12 profiles zao ziko marked NOT YET PROCESSED sasa nielewe lipi ndugu zangu nisaidieni tu.
Wadau mi so mwenyeji humu,ila naomba ushauri juu ya hii coz ya bachelor of ed with ICT ya Udom,nimechaguliwa ila cjajua kama ni kusoma comp peke yake ili kuja kufundisha comp,au unapewa masomo ya...
Kuanzia leo asubuhi ilikuwa m2 uki-login unakuta umeandikiwa chuo ulichochaguliwa ,lakin cha kushangaza kuanzia saa 10:00am leo wameondoa tena,Kwa kweli mm cwaelew