Nashindwa kuelewa taasisi zinazoanzishwa Tanzania kwetu hapa sijui huwa tunapata wapi ushauri maana more often than not zinakuwa zina disadvantages kibao kuliko hata advantages. Kama kwa hali...
ndugu wana JF napenda kuwapongeza form 6 wote kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa humu jamvini. . .pamoja na hayo ndugu wote wanajamvi kwa ushirikiano huohuo naomba tufanye kitu kimoja kiustaarabu...
Kwa taarifa nilizopata sasa hivi ni kwamba nimekosa kozi zote mbili nilizojaza UDZM na wewe kama umejaza udzm kozi zifuatazo check hz cut-off point then utajua kama umo ama ndo ushapigwa nje ...
Uwezi amini ila ukweli ni kwamba leo nimeaangalia selection status yangu nakutana na ujumbe kwamba sijafanya selection yeyeto huu sasa si kutiana presha tu au? Nakumbuka fika kabisa kwamba jana...
wakuu,kuna ubishi umetoke huku kitaa,kwa wale mliocheck selection za udsm,pale kwenye results za o-level ambapo grades zako ulizpopata kwenye masomo znapomalizika,kuna grade nyingine inakua...
News
Announcement to the prospective applicants on the second round of application Tanzania Commission for Universities (TCU) informs all prospective applicants that...
Mheshimiwa Zambi wakati ana changia bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi amekimwagia sifa chama cha mapinduzi na serikali yake kwa kujenga shule nyingi za kata. Lakini wakati huohuo...
tunajifunza nini,mtazamo gani juu ya tcu tunauweka,hawa walioupload wapepata wapi nyaraka hizi za umma,wadau wa elimu twajenga twabomoa? Na nyinyi waselectiwa mnashangilia 2
Jamani uteuzi wa wanachuo ulitumia kanuni gani? Kama wenye principle pass na subsidary wanaachwa, tusomee kozi gani? Je wanajanvi nisaidie kunanjiagani nyingine ili nipate nfsi ktk vyuo vya serikali?
Katika kile kinachoonekana kutokurudi nyuma katika kupigania haki zao,walimu ambao waliitwa kusahisha mitihani ya mock kidato cha sita kanda ya mashariki ikijumuisha mikoa ya Morogoro na Pwani...
Habari za tetesi; selection za tcu kutangazwa hii leo ama mapema juma lijalo.
www.tcu.go.tz/info/news/view_news.php?id=84
Link hiyo, nimeifungua tayari ..just endelea frm there
Note: Website ya...
ivi inawezekana mtu kuama chuo kimoja na kwenda kingine kwa mwaka wa kwanza..mfano nimepangiwa mzumbe statistics au agri economics ya sua na nnataka kwenda bsc in maths UDOM au architecture...
Habr wana jf natumain mpo vema na mnaendelea na harakat za maisha ya kila siku.
Samahan wakuu naomba kujuzwa ipi ni koz nzur kat ya hzo hapo juu nina mdogo wangu amepata chuo cha kilimo kaole...