Kusema kweli hii nchi inatia kinyaa na uongozi huu wa CCmMagamba inakuwaje vyuo vinafunguliwa next month then mpaka wa leo hakuna selection ya wanafunzi so watajiandaa vipi??Hakuna dawa nyingine...
Habr wakuu?
Samahan kuna hyo koz inayotolewa
Katika chuo cha mbegan fisheries institute je hii koz ipo vp wakuu?
Na kuhusu ajira yake huko mbelen n vp?
Nawasilisha kwenu.
Wana JF naomba msaada wenu mwenye kujua utaratibu wa kupata scholarship za china kupitia wizara ya elimu.
Maana nimepata official email toka China kuwa nimepata nijiandae kwa safari document...
a good piece i came across.Naomba tufungue hii link hapa tusome wote.
www.thecitizen.co.tz/magazines/33-success/24681-poor-cv-skills-cost-me-a-job.html
Wanajamvi
You can study either at Harvard or Stanford for free. The once despised Open Distance learning degrees are now geared to overtake campus based degrees. Be the first to study the degrees...
Loans Board imetoa majina ya undergraduates walifanya makosa mbalimbali katika ujazaji wa forms zao za mikopo, lakini hawajasema nini wanatakiwa wafanye ndio kusema imekula kwao au ndo nini...
Imeandikwa sana kwenye vyombo vya habari kuwa kuna madenti wana desturi ya 'kujiuza' na hata baadhi ya vyuo vimetajwa tajwa kama vile IFM, SAUT, UDOM na hata Mabibo Hostel imehusishwa. Kisha...
Kwa mwalimu mwenye Diploma ya ualimu akisoma Kozi ya ''public administration and education'' je mwalimu atawekwa upande wa uongozi katika nyanja za elimu, je mhusika ataweza kupata kazi wapi...
Ingia kwenye site www.tcu.go.tz
APPLICANTS WITH MISSING INFORMATION INTO THE 2012/2013 ADMISSIONS THROUGH CENTRAL ADMISSION SYSTEM
Utaona kichwa hiki cha habari ingia humo ucheki, kama haumo...
Ukiangalia kwa wenzetu kuna vyuo vinafundisha michezo mbali mbali, na wanaosoma kozi hizo ni wanamichezo. Mfano caster semenya ni mwanafunzi wa university of pretoria, anasoma sports science. Huku...
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa wote mliopitia uzi huu na wote watakaotoa msaada ahsanteni.naomba yeyote mwenye link za kuweza ku-download katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.najua jf...