Asalaam alyekum wadau wote..
Hakika jana baada ya kumwona mwakilishi mmoja wa nchi yetu huko London akipewa kichapo kama mtoto.... Nina wasiwasi saana na tutakachokipata huko olympic 2012 London...
Naomba wote wanaochukua masomo ya History, kiswahili, na Language waweze kujitokeza ili tuweze kubadilishana ideas kuhusu masomo hayo, tuone nikwanamna gani tunaweza kufaulu vizuri masomo hayo...
me nina bachelor tofauti na ualimu lkn maisha yanaonekana kubana mtaani zaidi ya mwaka bila kazi. nataka kuomba nafasi ya kufundisha kwa wizara ya elimu. utaratibu ukoje? msaada kwa anaejua
Umemaliza chuo kikuu mwaka huu mwezi wa 6,haraka mwezi wa 7 ukapata kazi, matokeo ya semista ya mwisho yanapotoka ukakuta una SUPP, je utatoa sababu gani kwa waajiri ili kuondoka kwenda kufanya SUPP?
Mimi nimekuwa nikifuatilia maandamano ya hawa wanafunzi wa vyuo vikuu na nikagundua kuna matatizo makubwa ambayo watu hawayaongelei. Gharama za kumsomesha mwanafunzi mmoja hadi kumaliza shule ni...
Sisi ni vijana tumeamua kuunda mfumo wa kusajili wanafunzi wa vyuoni,sekondari na taasisi mbalimbali za kielimu kwa njia ya on line na tayari system imekamilika almost kwa 100%.Lengo hasa ni...
Serikali ilifunga shule zake zote za msingi na sekondary kuanzia August 3 hadi September 9/2012.
Sababu zilizotolewa zilikuwa walimu wangeshiriki katika zoezi la sensa. Sasa kuna ushahidi kwamba...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma (udom) kipo kwenye mazungumzo na serikali ya wanafunzi ili kiweze kuwasaidia wanafunzi ambao mpaka sasa hajaona matokeo yao nahuku wakitakiwa kufanya supplementary...
Poleni na majukumu wakuu.
Ndugu zangu, naombeni msaada wenu. Nina mdogo wangu alipata field sehemu flani lakini ghafla jamaa wakaja kucancel na kusema hawatachukua watu wa field this year...
Hii ndo CV ya mbunge anayewakilisha wananchi wa Temeke.
Mimi sijawahi kuona hata siku moja either akiuliza swali au kuchangia lolote bungeni, nahisi yuko pale bungeni ili kutoa sauti ya NDIYOOO.
Chuo kikuu cha Dar es salaam kimeshika namba 11 Afrika, ikiwa namba 1 Afrika Mashariki, huki Nairobi kikishika namba 14 au namba 2 A.M. Zaidi fungua link2012 World University Ranking | Top 100...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
(To be conducted in MWANZA)
The Department of Statistics, School of Mathematical Sciences is announcing a short course on DATA...
Kwa waliokuwa mahakama kuu kanda ya arusha jana tarehe 3/8/2012; kuna kesi inayoendelea kati ya Principle Prof MONYO na Lecture ATHANAS CHALE. Upande wa mashtaka (MONYO) alikuwa na shahidi SABDAT...
Wengi mnafahamu SHULE ZIMEFUNGWA ILA DARASA LA SABA NA LA NNE BADO WANAENDELEA NA MASOMO WAKIJIANDAA NA MITHANI YA TAIFA. L eo nilipoingia darasa la saba kufundisha nimekuta watoto wanamjadala...
Sasa basi kama elimu si muhimu kwa nini ccm walipendekeza elimu ya mgombea uraisi iwe ni angalau undergraduate?? si wangeacha raisi akawa wa std 7?
Angalia na huyu? miswada hii inayoletwa kwa...
JF members heshima kwenu.
Mi ni mwajiriwa wa serikali kada ya uasibu na nipo mkoani sehemu ambayo siwezi kusoma jioni na mbaya kutokana na nafasi yangu ya kazi kwa kipindi kirefu nimetaka kwenda...