JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU MALALAMIKO DHIDI YA MATOKEO YA SOMO LA ISLAMIC KNOWLEDGE KATIKA MTIHANI WA
KIDATO CHA SITA 2012
1.0...
Mimi ni muandishi wa vitabu vya Riwaya,Tamthilia na Ushair ninahitaj msaada wa udhamin wa kuchapa kitabu ambacho nimekiandaaa kitakachoitwa ''NYARAKA NYEUSI''
kama unaweza kutoa msaada huu...
Top Foreign Aid Recipients 2008 working on getting the 2010 & 11
Rank Country Aid received for 2008
1 Iraq 9,870 Billion USD
2 Afghanistan 4,865 Billion USD
3 Ethiopia 3,327 Billion USD
4...
Mi nmehtm Form4 2011, matokeo yalikua mazur ningeweza kuchaguliwa special school yoyote, but nlichagua dit TEL. kama 1st choice na ndiko nlikopangiwa. Problm ni kwamba wa2 wanasema nlifanya chaguo...
Salaam.
Jamani mi naamini jf hakiharibiki kitu.
Kuna jamaa yangu yuko Mwanza kwa muda, kaniuliza anawezapata wapi "nondo" au materials za CCNA(cisco)?
Najua internet ipo ila you never know, the...
Kuna mambo mengi watu tunafanya kwa kufuata mkondo wa waliotangulia. Nafikiri kuna njia mbili maarufu ambazo hutumika kupata maarifa, nazo ni Elimu na Uzoefu. Kwa hiyo elimu ni njia ya kujifunza...
Jamani mimi naomba mnisaidie mwaka huu nimeomba chuo kupitia tcu mpaka sasa my selection status inaonyesha not yet processed,inamaana muda bado au ndiyo imekula kwangu.
Wandugu naomba kujua kama kuna walipoitia shule ya msingi Yombo enzi za mwalimu mkuu akiitwa Nyange hii ni miaka ya 71 na kuendelea.Hii ni shule iko karibu na shule ya vilema na kanisa katoliki...
Kwenye Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2011, shule nyingi zilizofungiwa ni za Kiislamu. Mfano Shule zote zilizofungiwa Tanga ni za Kiislamu pekee.
Mtihani wa Kidato cha Nne 2011, Shule...
Utafiti uliofanywa na watalaam toka nchini umegundua wanafunzi wanafunzi wa vyuo tanzania
1.hupenda kwenda baa na kumbi za starehe kuliko lecture na semina
2.hushinda room kuliko libray...
me ni kijana mtanzania niishie nje ya nchi,,, kutokana na utafutaji wa maisha ndugu zangu ninaposema naombeni msaada wenu,,, me ninapenda sana kusoma but kwa bahati mbaya nimeishia darasa la saba...
Mimi leo nimelog in kwenye account yangu ya TCU ila ni mekutana na ujumbe ambao kwa kiasi fulani umeniacha na maswali mengi kuliko majibu.Kama walivyokuwa wamesema awali ni kweli registration na...
Wadau naomba msaada wa kupata instructor manual ya colin drury kama kuna mdau anayo ya soft copy naomba anitumie kwenye email yangu
kasingotz@gmail.com
naomba mwenye uelewa, ninahitaji kumpeleka mwanangu chuo flani dar, wao wanasema wapo registered na NECTA but ktk tovuti ya NECTA kuna list ya registered college 20 tu, but kila siku vyuo hivyo...
walimu
wakiwa wanaelekea kwenye mgomo, kamwe hawatafanikiwa lazima wengine
wasaliti kuendelea kufundisha, hii yote inatokana umaskini walionao
kuanzia familia mpaka ukoo. Mwalimu hana ujasri...