BREAKING NEWS
WATUMISHI WA IDARA YA ELIMU NA NYINGINEZO MANISPAA YA ILALA WAFUTWA KIENYEJI KWENYE PAYROLL
Watumishi zaidi ya sabini wa manispaa ya ilala wengi wao wakiwa walimu wamefutwa kwenye...
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S
Jamani, tangu mwezi wa 9/2012 mpaka leo walimu walipopandishwa madaraja mpaka leo hawajalipwa mshahara mpya? Katibu wa CWT ameingilia kati mpaka HAZINA majibu aliyopewa kwmb hakuna madai yeyote...
HII NI MAKALA KATIKA GAZETI LA ANNUR LA LEO, UK 4
KWA HILI DK NDALICHAKO ANAHUSIKA
Nimeisoma makala katika gazeti la annur la februari 24 yenye kichwa cha habari " mchawi wa Zanzibar sio...
hiv uki2ma matokeo yako ya 4m6 uliyo print kisha kugongwa muhuri na sahihi ya hakimu kwenye bodi ya mkopo badala ya 4m6 results ni sahihi au kitakua kigezo cha kukosa mkopo msaada tafadhali
wadau naombeni msaada, uelewa na uzoefu katika kazi, katika hizi accounting package mbili hapo kwenye Title, ni ipi iliyo more popular na inayotumika zaidi?
yani ni ipi iliyo current??????
Taarifa rasmi nlizozipata ni kwamba chuo cha mtakatifu Agustine kimezindua rasmi business incubation centre kwa graduates wa chuo hicho.
Centre hiyo itakuwa inarecruit graduates wenye business...
WanaJF kama mmesoma tcu guideline book wameonesha kila kozi katika kila chuo pamoja na mkopo unaoweza kupata. na kwa mkopo ni kwa kozi za science tu kwa arts na biashara hakuna mkopo hata kama ni...
Kila mwaka hii ishu huwa inajirudia rudia na wahusika kutishia makali ya sheria kuikabiri skendo hii.
Naona sasa wapanue wigo wao wa kuchambua nini cha kufanya, inasemekana fibre optic cable sasa...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences
School of Mathematical Sciences
Department of Statistics...
wadau wa JF,mimi nimemaliza form six mwaka juzi 2010 hivi karibuni nimekua nikisearch jina langu na na majina ya watu wengine kwenye google lakini cha kushangaza kwnye search results google...
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana,mitihani yote imevuja.Jana nimewaona vijana wana solve paper la biology kwenye daladala na leo limetoka hilohilo!Nimewauliza wanafunzi wanadai wanamitihani yote...
Ewe mwanafunzi au mwananchi yeyote, je unataka kufanya tafiti katika mkoa wa tabora kwa kipindi cha likizo ndefu(baada ya semister ya pili) katika nyanja za elimu,uchumi na jamii?
Kama jibu ni...
Wadau mimi ni mtanzania ila kwa sasa nipo hapa Maryland,USA nasoma pia napiga kazi sehemu nilifikiria kuanzisha kama shule/chuo ya kufundisha mambo ya utalii huko home sasa natafuta fund huku so...