Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Leo niliingia SALUNI moja mitaa ya Holili(BODA)-Moshi mida ya saa 11 jioni,kwaajili ya kupunguza nywele.Nikawakuta wanafunzi wawili wa kike(kati ya kidato cha 2 hadi 4). Kinyozi naye amekaa kwa...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
hivi wadau je ni kweli kunamasomo magumu na rahisi coz ugumu na urahisi wa masomo is subjective
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zilizorushwa na TBC1 saa 2 usiku zinaeleza kuwa baadhi ya walimu wa shule ya msingi Sakasaka iliyoko wilaya ya Meatu, Shinyanga wamechapwa viboko na Sungusungu kwa kosa la kutohudhuria...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Wana jf hii bodi imekua chanzo cha chuki baina ya watanzania,kabla ya kuundwa walisoma bila masharti na vikwazo kama vyao,my take bodi imeshindwa,haina kazi ni ulaji wa wachache.Nawasilisha
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
samahani wakubwa,naomba kufahamishwa kati ya hizo kozi mbili zinazotolewa katika vyuo vya mzumbe na SUA ni ipi nzuri ambayo naweza hata kujiajiri pindi nitakapomaliza masomo yangu?pia ile...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Taasisi za eucknforde zilizopo jijini Tanga zipo hatarini kufungwa kutokana na ukata mkubwa unao zikabili. Huu ni mwezi wa tatu sasa wakufunzi wanao fundisha chuo cha ualimu kwenye taasis hizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajajf, naomba ufafanuzi wa majukumu (kwa anayefahamu) kati ya Naibu waziri wa Elimu na Naibu Waziri TAMISSEMI anayeshughulikia masuala ya elimu. Kwani ukifuatilia kwenye vyombo vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tafuta kosa liko wapi katika hesabu hii.. Nasubiri majibu, ntatoa maksi accordingly!!:israel:
1 Reactions
86 Replies
9K Views
doctor of vertenary medicene inalipa kibongobongo
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Kwenye ukumbi huu, kumekuwa na maongezi kuhusu kuporomoka kwa elimu na pia kupanda kwa michango ya shule (fees) kwa wazazi. Ufaulu unaopatikana kwenye shule za binafsi wengine wanaamini kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Huku bongo tunaona kwenye mablogu jinsi chadema ilivyoteka marekani kwenye huu mkutano wao ujulikanao kama M4C. Kabla ya hapa siku za nyuma kulikuwa na kamcheo ka kijinga kwa watanzania kufungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Labda nianze kwa kukiri kuwa, sakata la karibuni kati ya Mh. Shibuda na BAVICHA ndio kilichonisukuma nianze kuirejea historia. Ni ukweli kuwa wasukuma ni kabila kubwa...
0 Reactions
9 Replies
12K Views
salaam! naomba kujuwa hii programme ya PRE-MD PROGRAMME hapo bugando. kama kuna mwana jamii ana number za wadau hapo chuo itakuwa pouwa,mobile number tafadhali!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu nipo kwenye mchakato wa kuapply kwa ajili ya udahili TCU lakini kuna kitu kinanichanganya kidogo kwasababu naona kuna nafasi 8 za kujaza program unazozikidh mahtaji yake lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na harakati nyingi ya wahitim wa idato cha sita kuomba enrollment vyuoni na wakati huohuo kuomba mkopo kupitia loan board. Nawashauri mwombaji kabla hajaomba chuo chochote asome na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimeshuhudia wanachuo wa chuo cha mipango dodoma wakinyimwa haki yao ya kidemokrasia baada ya wagombea wao wa uraisi wote watatu(3) waliowategemea kuenguliwa na tume ya uchaguzi kwa kile...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Fuata hii link www.viewtz.com/vtz_forums/topic/is-st-augustine-university-of-tzsaut-the-best-private-university-in-tanzania/ Hongera zaidi naomba ziliendee baraza la maaskofu katoliki...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Dear friends, We are a group of volunteers dedicated to the wellbeing of children. For research and lobbying purposes, we need evidence of corporal punishment (teachers beating their students)...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Writes all types of academic custom essay writing plagiarism free Order custom essay writing. We provide varieties of custom essay writing services. Essay Writing Help online at Essayglory.com...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…