siku ya jumapili 27/05/2012,wanasua wamepata jembe jipya mwanaharakati wa ukweli IDD,IDD.F.ni rais kijana kuwahi kutokea sua,anachukua education mwaka wa 2,ni mpiganaji wa ukweli hivyo wanasua...
15.2 SIFA ZA MWOMBAJI Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV waliofuzu mafunzo ya cheti yasiyopungua mwaka mmoja katika fani ya Food Production yanayotolewa na Vyuo vya Forodhani (Dar es Salaam)...
Tangu jioni mgomo umeanza na unaendelea hapa Kwiro Sec. Wanafunzi wamechoshwa na ufisadi na unaombatana na uzembe. Vifaa walivyolipia wapewe kama unifomu na vifaa vya shule havitolewi na walimu...
BY CORRESPONDENT
Friday; 25th May 2012
United African University of Tanzania (UAUT)
The first academic year of the United African University of Tanzania (UAUT) is expected to commence this...
Wadau hii kitu nimeipata Mzumbe University.
UFISADI SERIKALI YA WANAFUNZI MZUMBE DSM CAMPUS
Wanamzumbe naomba niwasalimu kabla ya kuwahabarisheni yale msiyoyafahamu, kuna WIZI na UFISADI...
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi...
I real miss the goodtime we have pamoja kipindi kile... Mwl.Nyota, Nyudura, Suti, Msavaga, Mlowok, Ngenzi... daaah what a wandaful time jamani.
Ila mpo kweli? Mwaka gani ulikuwepo pale?
Jamani wadau naombeni mnisaidie maana kila nikijaza details zangu wakati na-apply tcu mwishoni ninapobofya kwenye register inaniambia " mobile number2 must contain a number' sasa sielewi ni...
Wana jamii habar yenu. Wadau nalisikia hili facult la electronics and telecommunication eng ni ngumu, naombeni ushauri na ugumu uliopo linahitaji mtu wanamna gan! Je mtu kama mm nisiyependa...
wana jf naombeni ushauri wenu, kama inavyo onekena hapo juu yaani Gs-S,Geog-D,Phy-E na Math-D. naomba mnishauri ni course gani naweza kuchukua kwa matokeo haya.
NB:- O-level chemistry sikufanyia...
Taarifa za chini kutoka kwenye uongozi wa chuo zinasema kuwa hadi sasa hakuna fedha yoyote kutoka HESLB, hivyo kutokana na ungozi wa chuo kuona matatizo waliyo nayo wanafunzi hasa ukosefu wa...
Asalam aleykum wana jf wote,
Leo naomba kuja na hili japo kuwa ni baya lakin tulijadili tu labda litatupa nafasi wengine ya kujua tujipange vipi katka maisha. Nimekuwa nawaza sana juu ya elim ya...
Home About Us University System Universities Corner Students Corner CAS Information Centre Photo Gallery Contact Us FAQ
Welcome to Tanzania Commission for Universities (TCU) website
The Tanzania...
Ni kwa kipindi sasa naona mijadala ya vyuo imekuwa ikishamiri humu jukwaani.Baadhi ya watu wamekuwa wakichangia upumbavu tu ingawa wanajiita wasomi,mara wanajisifiasifia wanapopatia elimu zao na...
1 University of Cape Town South Africa
2 Universiteit Stellenbosch South Africa
3 Cairo University Egypt
4 University of Pretoria South Africa
5 University of the Witwatersrand South
Africa 6...
Asante yangu nitaitoa kwa atakayenisaidia jambo hili: Download kitabu hiki Biological Science (Scott Freeman) 3rd au 4th edition na unitumie kwenye email yangu ambayo nitakupatia kupitia PM...