wadau nataka kujua kwanini vyuo vingine vinaitwa chuo kikuu na vingine sio vyuo vikuu lakini wote wanafundisha bachelor....sasa hapa kuna ukweli wowote hivi vyuo vinaitwa vyuo vikuuu
Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St...
Habari wanajf tafadhalini sana naomba kufahamu kama kuna vyuo vinavyotoa kozi za kilimo na mifugo ambavyo sio vya serikali maana wk tatu zilizopita nilisikia tangazo clouds fm wakitangaza chuo cha...
Monitor Reporter
Kampala
Ex Tanzania President Benjamin Mkapa will tomorrow be awarded with a honorary doctorate degree at Makerere University. He becomes the tenth person to get the honour from...
"Katika nchi yetu mabadiriko ya global warming tunashuhudia ikiwemo kuongezeka kwa
kina cha bahari. Hii ni rahisi kuijaribu kwamfano unapoweka maji kwenye sufuria yanapopata joto
yanatanuka na...
Niko hapa Dodoma,nasubiria serikali ya magamba ielekee ICU,
Lakini,namuona Mh.Membe,Nasari,Magreti Sitta,Chemba,Mwakyembe,wakiongea na viongozi wa serikali za wanafunzi wa elimu ya juu...
Mchakato wa uchaguzi mkuu chuo cha St. Augustine umeanza ambapo kampeni rasmi zimezinduliwa hapo jana na zinatarajiwa kukamilika j.4 ya wiki ijayo na kupigwa kwa kura siku ya J.5.
Ktk hali ya...
Niko kwenye mchakato wa kuomba vyuo kupitia TCU. Nauliza kama inawezekana kusoma programmes za "Bachelor of Education in Science au Science with Education" ikiwa mimi nilisoma EGM? Naomba pia...
Katibu mkuu Necta Dr.ndalichako ametangaza hivi karibuni kuwa mitihani itasahihiswa kwa mashine maalumu kuanzia mwaka huu,ametoa sababu nyingi ikiwemo gharama kubwa kipindi cha usahhshaji.hoja...
Nipo chuo kimojawapo cha binafsi hapa nchini nikichukua Bachelor of Education in Special needs(BEdSN) naingia mwaka wa pili. Tangu nimejiunga sijafanikiwa kupata mkopo kupitia Bodi ya mikopo kwa...
habari wana JF?
Kutakuwa na mdahalo Wa wanafunzi wa vyuo vikuu utakaofanyika katika Chuo Cha Uhasibu(T I A).
Mdahalo huo utakuwa na mada isemayo;Kwa hali halisi ya TANZANIA Je kuna haja ya...
Hela ya mizigo kwa walimu wapya mmepewa nyie au nani? Maana halmashauri nyingi wanasema waraka umebadiliswa hizo fedha hazipo tena! Nyie hamjatoa tamko lolote! CWT ongeeni hata kwenye midia...
Siku za karibuni, UDOM kumeanza kutokea tena ukiukwaji wa sheria. Na kuna wimbi la kufukuza wafanyakazi kinyume na sheria. Kilichonisikitisha ni kitendo cha wafanyakazi kukata rufaa. na kushinda...
Research is a form of discplined inquiry that generates sound knowledge.what attributes of this inquiry in your view to the process the status of scientific rerearch?. Hopping that this is the...
wachache wanafaulu na wengi wanafeli ila akuna malengo yeyote yamana kuokoa hii elimu yani hata kwenye vyuo akuna wakufunzi wakutosha je elimu yetu tunaipeleka wapi jamani?
Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini...