Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

WANAJAMVI am lookin for scorlarship isyo husisha SAT
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi tarehe 21/04/2012 wakati wa kikao cha bunge jioni Mbunge wa Ludewa Mh. Deo Fulukunjombe alimtaja mkuu wa Chuo Cha Mkwawa kuwa alishiriki kula hela za mikopo ya Wanafunzi wa chuo hicho na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WARAKA WA WAZI KWAKO KUHUSU MGOGORO MPYA UDOM Mheshimiwa Jakaya M. Kikwete, Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Raisi, pole kwa kazi ngumu ya kuongoza nchi yetu Tanzania, salamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunahitaji mwalimu mwenye uzoefu wa course hizo hapo kwa level ya diploma 4 au certificate kwa intensive training ya mwezi na nusu ili kujiandaa kwa exam june mwaka huu, malipo ni kuongea na ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, naomba mtu yeyote anaeweza kutusaidia juu ya hili suala, tunaambiwa pindi tumalizapo elimu zetu tujiajiri wenyewe.. Ni jambo zuri ila tatizo linakuja kwenye namna ya...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Hivi tume ya vyuo vikuu kutuuzia VOCHA zilizo expire tokea 30/9/2011 ni bahati mbaya au kusudi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimetembelea watani wetu katikati ya wiki hii inakwisha, na nikabahatika kutembelea chuo kikuu kimoja cha binafsi kilichopo nje kidogo ya Nairobi. Na hapo nakutana na uzinduzi wa taasisi (idara)...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
wanabodi, mie nililowea kny maboksi kwa kipindi cha miaka kumi,baada ya kuona hayalipi mpaka nipate proffessional job nimeamua kurudi shule.....ila nahisi mwenzenu watanikamata,naogopa kweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo kwenye mchakato wa kuomba mkopo wa kusoma Elimu ya juu.Nipo Cafe na nimeshindwa kupata mwaka wangu wa kuzaliwa katika hiyo fomu ya HESLB,miaka imeandikwa kuanzia 1940 hadi 1987 tu! sasa mimi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha kuhusu facult hii udsm na nini hasa ina deal with naomba maelezo tafadhali
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanzania Commission for Universities Application for admission into higher education institutions in academic year 2012/2013 for applicants who completed their studies from 1988 to 2011 The...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
leo nilikutana na rafiki yangu anaefanya kazi utawala wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), akanidokeza kuwa kuna wanafunzi 24 walifukuzwa kwa sababu walikutwa wapo kwenye gari wamevaa sare za Chadema...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajf wenzangu mnaofahamu Kiswahili hasa upande wa viambishi, nawaombeni mnitajie kazi kumi za kiambishi KA, kumi za kiambishi KI..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimejalibu kutafakali kiundani ila sijapata jibu aidha la kimaumbile au la kisayansi kwa nini viungo ambavyo viko pair ktk miili yetu haviko sawa ktk uwezo,kwa mfano wa mkono wakulia hauwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Poleni na Majukumu ya wiki nzima; Naomba mawazo yenu katika hili! Wanafunzi wanaopata Division One kidato cha sita hupewa kipaumbele sana na baadhi ya vyuo kama UDSM,Mzumbe na kwingineko...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
naombeni msaada wenu katika taasisi/vyuo vinavyotoa tailor made course ya monitoring ya Monitoring and Evaluation kwa bei nafuu katika chuo kinachotambulika na kusajiliwa naomba...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
All da xul leaver student knw y most of da student fail to knw even to study english this problem have da source and source ni KAMATI KUU YA TAIFA coz wanapasisha std 7 bila mpangilio and now...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unbelievable its bad ti hear that some people in higher learning institutions are not performing real practicals due to shortage of science facilities yes this is our Tanzania towards the world of...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
Wadau híí exhibition inaanza lini? na itachukua muda gani? Pia naomba nijue eneo gan Inafanyika?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilidhani kuwa na vyeti ndio mwanzo mwisho, kumbe dunia ilinigeuza vibaya. Niliogopa hata kuitwa Dr (phd holder) katika some instances kwa sababu nili attract attentions za watu na kubadili...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…