Kwa wale waliohitimu mwaka jana 2011, transcript zitakua tayari katikati ya mwezi May 2012 na sio April tena kama ilivyotangazwa mwanzo!
Source: www.udom.ac.tz
Tutajuta mwaka huu maana kila kaz...
Leo bungeni sikushangaa walipokua wanachangia taarifa za kamati kua kuna vyuo vimelipa mishahara waalimu hewa mabilioni ya pesa,serikali inapaswa kujua hicho ni chanzo cha mapato kwa baadhi ya...
kwanza napenda kuwasalimu wanaJF,baada ya salamu napenda kujuzwa na wanaofahamu kuhusu hili,je ukitaka kusoma masters iwe hapa TZ au NJE,kama unataka kufadhiliwa unatakiwa uwe umepata GPA ya...
DAR ES SALAAM WALKS FOR HIGER EDUCATION
you are invited to participate on the first UHURU WALK AND TREASURE HUNT on sunday, 27th may 2012 at 6:30 am
ROUTE AND DISTANCE:
the walk will be 4km...
Wana JF;
Asasi ya Marafiki wa Elimu Dodoma (MED)inakamilisha utaratibu wa kuwa na jukwaa la majadiliano katika masuala mbalimbali ya Elimu, Demokrasia na Utawala Bora. Mijadala hii itafanyika...
Majuzi nilitembelea shule moja ya sekondari ya kata huko kijijini. Nikakuta ina walimu wanne-historia, Jiografia, biology, katika idadi hiyo yumo mkuu wa shule. Nikaelezwa kuwa darasa lilomaliza...
Katika hatua ya kushangaza CAG alisema katika ukaguzi wake amebaini kuwa majengo ya Chuo
Kikuu cha Dodoma(UDOM) hayajulikani yanamilikiwa na nani kati ya Serikali na mifuko
ya hifadhi ya jamii...
Kwanza nawasalimu ndugu zangu wa JF..
Pili nilikua naomba nijuzwe kuwa kwa wale waliomaliza form 6 mwaka huu(2012) application za loans zinaanza lini na ni procedures gani zinatakiwa zifatwe...
Ndugu wana JF, naomba mnieleweshe kuhusu ubora wa cheti cha ACCA, na masomo yako vipi na duration yake, vilevile ni wapi wanatoa iyo course wakiwa na walimu wazuri. Nimesikia Financial Training...
HESHIMA MBELE WAKUU!
Jamani naomba kujuzwa,
hivi hii wizara ya Mifugo inatoa lini NAFASI ZA MASOMO kwa mwaka wa masomo 2012/2013 ?
maana naangalia kwenye website yao hata sio kama kuna Tangazo...
wana JF naomba msaada wenu mimi ni mtumishi wa serikali na nina familia inayonitegemea,ila na hitaji kujiendeza kwa njia ya posta namba msaada kwa anayefahamu chuo anisaidie,ninakofanyia kazi ni...
Maonesho ya saba ya vyuo vikuu yatafanyika kuanzia tarehe 18 hadi 20 mwezi Aprili mwaka 2012 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga Dar es Salaam. Mgeni rasmi atakuwa Makamu wa rais wa Jamhuri ya...
Pengine wewe ni mmoja wa wenyeji wa div 0 ama 4 za mwaka huu
nakupa nguvu wapo waliopata kama wewe wakarudia mitihani
leo ni wabunge wa eac..
Napenda kukwambia kufeli shule mara aya kwanza si...
Miaka mingi leo baada ya kumaliza pale Chuo Kikuuu Mlimani - UDSM, bado sijaelewa Mzee Punch ni nani. Kulikuwa na hizi Ten Commandments za Mzee. Zilikuwa very mysterious.
Thou shall not sit on...
Wakuu, na leo nimejitokeza tena kuwakumbuka na kuwataka waliosoma SHYCOM, (SHINYANGA COMMERCIAL INSTITUE) mnamo miaka ya 1994 mpaka 1997 tuwasiliane. Atakayeliona tangazo hili aache namba yake ya...
natumaini hamjambo wanajamvi wenzangu! Jamani naomba kama una habari kuhusu shule moja inayoitwa TUKUYU niambie ipo wapi katika hii TANZANIA YETU TUKUFU! Binamu yangu kapelekwa huko ila hajapata...