inasikitisha sana unapopita saa mbili na nusu au zaidi nakuwakuta eti wanasubiri mabasi enzi zangu bana kumi na moja ndio ulikuwa muda muafaka sasa yanini leo saa mbili na nusu asubuhi ndio mda...
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani (Necta), Dk.Joyce Ndalichako
Wanafunzi wengi wanaomaliza elimu ya msingi mwaka huu, inahofiwa kuwa wengi wanaweza kufeli mitihani yao ya
darasa...
Nina mwanangu kachaguliwa sec.ya Lwangwa pcm baada ya mahangaiko nimefanikiwa kujuwa shule ipo rungwe mbeya ni km kadhaa ktoka mj wa tukuyu ila hawa ndiyo wanaenda kuanza yaani shule ilikuwa na...
Nilikuwa naomba kujua mambo ambayo mara nyingi huitajika hasa unapotaka kujaza fomu za scholaship kwa kutumia online application kwa wanaotaka kusoma shahada ya awali na pia zip code huwa ina...
Nina mdogo wangu wa kiume ambaye amemaliza kidato cha nne 2011. Hata hiivyo, nahisi kama hakutendewa haki kutokana na shule ambayo amepangiwa kwa masomo ya kidato cha tano na sita. Pamoja na...
The government has called upon education experts in the country to recommend better ways of financing students of higher learning institutions, saying the current system connot be sustained.
The...
Habari wakuu,
Ningependa kujua kama vyeti vifuatavyo vinakubali,
Advance diploma in Business management by Association of Business executive, cheti kinatolewa na FTC, LearnIt, study period ni...
Nimepata selection ya kwenda kigonsera wakuu mnayoifahamu tafadhal naomben mnijuze yafuatayo-
1.iko mkoa gan?
2.boys au mixture
3.perfomance yake
4.iko town au bush
5.mabaya na mazuri ya kigo...
Kiukweli nowadays post za shule za A level ni vurugu. Ina maana gani mwanafunzi kujaza celform kuchagua shule then baada ya matokeo unapangiwa shule tofauti? Asilimia kubwa ya wanafunzi...
CBE WAMEONYESHA NJIA KWA VITENDO,UDSM,IFM ,ST.JOSEPH CoET,DIT etc KAZI KWENU.Pongezi za dhati kwa uongozi wa chuo cha CBE kwa kuonyesha njia kwa vitendo juu ya mavaazi ya wanafunzi vyuooni...
Ni kama unaenda kanisani au masjid. Hakuna kuvaa nguo zinazoonesha maungo ya ndan mathalan vimin, vipedo, tait, vitop, kuvaa mlegezo, pensi n.k. Hii nimeipenda!
WELCOME CBE SEMINARY!
Kwa wale mliosoma Pugu Sekondari kati ya mwaka 1985 -'90's Headmaster Mwalimu Amoni Mtera amefariki dunia jana saa 12 asubuhi kwa kugongwa na gari akiwa pamoja na mkewe na jirani yake wakati...
Mfumo wa ufundishaji kwa vikundi umekuwa nyenzo muhimu ktk kurithisha maarifa kwa wanafunzi,hasa wale ambao wanajifunza taratibu [ slow learners ]. Tumejaribu hili hapa kibangu na tumeona matokeo...
Naomba munisaidie mwanangu amechaguliwa shule hiyo f 5 naomba kujuwa naweza kufikaje kutokea mbeya? Wasifu wa shule na jambo lolote kuhusu shule hiyo amechaguliwa pcm...
Wadau, asante kwa kunipa nafasi hii ili nami niweze kujifunza moja au mawili toka kwenu kuhusiana na mada hii ya shule ya bweni au boarding school. Je ni wakati gani dhana hii iliingizwa ktk mfumo...