Nahitaji kumshauri rafiki yangu ambaye namnukuu katika stori ifuatayo
"Baba anawalipia karo watoto wengi wake na ndugu zake,kuna mtoto wa jirani ambaye kutokana na matatizo ya nyumbani kwao...
Ni kua watanzania wengi na nikiwemo mtazamo wetu ni kua ajira zinapatikana serikalini ama taasisi fulani,sasa je hatuwezi kuwaza kujiajiri wenyewe,na kama haiwezekani unadhani elimu uliyopata ina...
Wana JF, sina nia ya kuponda products za vyuo vikuu binafsi, ila kuna tofauti kubwa sana hasa katika utendaji kazi kati ya wanafunzi wanaomaliza vyuo vikuu vya umma na wale wanaotokea vyuo vikuu...
serikali kupitia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia elimu katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Jumanne...
kuna zengwe hapa kati ya uongozi na wanafunzi wa BA Kiswahili kuhusu suala la field. mkurugenzi, dk.mutembei amekuja na kutaka kuhamisha mada kuu. akaanza kulaumu wanafunzi kwa kuwasha mafeni na...
The Chinese Government Scholarship Scheme awards scholarships in China for international students to study and pursue a Bachelor's, Master's, or Doctoral Degree at Universities in China.
Click...
Wadau, natafuta chuo nitakachoweza kusoma koz hyo hapo juu...post graduate. Msaada wenu wa chuo kizuri zaidi kwa koz hyo. Nimemaliza chuo mwaka jana koz ni bachelor degree in masscommunication.
Walimu zaidi ya wanne walimshambulia kijana wa kiume katika shule ya sekondari ya st Anne kwa madai kua wana mhisi ameweka pedi darasani...jambo hilo lilileta ugomvi mpaka kupelekea shule kufungwa...
1.An estate agent buys a certain type of properties.If the cost price of 24 properties is equal to the selling price of 16 properties,what is the percentage of profit or loss that the estate agent...
Ndugu wanajamii, leo asubuhi startv Africa katika kipindi chao cha Tuongee asubuhi walikuwa wanajadili sera mpya ya elimu. Pamoja na mambo mengine washiriki walisema sera hii inaelekeza kuwa elimu...
Hivi matokeo ya kidto cha nne hutoka mwez wa 1 kwenye tareh ngapi.itakuwa vizur kama mtanikumbusha na ya mwaka jana yalitoka kwenye tareh ngapi.(request)
habari za jumapili..
nisidieni kuhusu hii kozi Bsc.Biotechnology and Laboratory Science ya SUA.
Nilikutana na rafiki yangu anasoma hiyo kozi pale SUA ameingia mwaka wa tatu sasa ila anachosikitika...
Hello wanajamii, naomba kujua kama kuna mwanajamii anayefahamu vyuo ambavyo vina karo ya kawaida nchini India na Malaysia vinavyotoa degree ya course ya computer science.
Thanks in advance.
napenda kujua wanafani au walio sikia kuhusu fani hii pamoja na ajira yake hapa nchi.... Je ni sawa na fani nyingine ktk suala la ajira nchi IT,Accountant.
-Ni baada ya kubandika majina mengine ya watu 22 ambao kesho wanatakiwa kwenda kuchukua barua za kurudi nyumbani,ukiachia mbali wale 12 waliopewa barua lastly week na hali kesi zao mahakamani...
habari zenu wakulu! Natakakusoma CPA ila sijui qualification zao nimejaribu kuingia kwenye web yao ila link ya qualification haifunguki ila inaleta error.Hivyo basi kwa mwenye ufahamu juu ya...
wadau mimi ninaelimu ya form four na nilifanyikiwa kupata elimu ya chuo katika fani ya karani wa fedha(basic certificate of accountancy)
nilisoma kozi hiyo kutoka na mazingira tu niliyokuwepo...