Je wewe ni mwajiriwa / mwajiri/mwanafunzi/mzazi/shule/chuo? UNATAKA AJIRA? Nununua DVD ikufundishe masomo yenye thamani sana tena kwa muda wako wakati ukiendelea na shughuli zako bila kwenda...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika vyuo tofaut nchi kukosa Mkopo ukilinganisha uwezo wa wazazi wao kuwa wa chini hali hii imewafanya baadhi ya wanafunz...
shule ya msingi kambarage ilyopo wilayani serengeti ina miezi mitatu tangu ifungwe eti kwa sababu halimashauri haina milioni tano.Hii ni aibu ya miaka hamsini ya uhuru.
Mwenge wa uhuru unatumia...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma unaandaa mkakati wa kukataza wanafunzi kuvaa vazi la kichadema(gwanda) kwa kile wanachokiita kupiga vita siasa chuoni.hii imetokana na asilimia kubwa ya wanafunzi...
Wadau,nina binamu yangu ambae amehitimu toka mwaka 2008 bcom-Accountn toka chuo flan hapa dar,juz alikua kwenye interview huko mwanza na wenzie wengi tu wa vyuo vngne kama mzumbe,cbe,ifm,sua nk...
Wanafuzi wa kampala international university tawin la dar salam waandamana hadi ofisi ya adiminisration na kuvunja baadhi ya milango ya vyuoni hapo baada ya kuhaidiwa kero zao kutatuliwa leo na...
Baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza school of Journalism and Mass Communication campus ya nje UDSM (waliokosa mikopo ila wapo kwenye pending list), wamekuwa wakiombwa rushwa na baadhi ya...
Binadamu lazima afe,na viongozi ni wengi, na ajali ni nyingi,na ili kumuenzi kiongozi siku inapewa jina lake na watu wanapumzika kazi kiofisi hasa serikalini,na kila mwaka viongozi wanakufa.je...
wanafunzi wa KIU wamegoma jioni hii kutokana na kero zao kutosikilizwa na management na ghasia hizo zimetulizwa na FFU.
Chuo hiki kina matataizo mengi sana kutokana na kushindwa kuweka mambo sawa...
Lengo kubwa la elimu ni kumuandaa mtu ili aweze kukabiliana na mazingira yanayomzunguka.Si lengo la elimu mtu kuzunguka na vyeti kutafuta kazi za ofisini tu.Katika fikra za MWALIMU alisema elimu...
wakuu naombeni ushauri hili dude linatolewa na chuo kimoja tu Tz.je! Linalipa coz sisikii watu wakiizungumzia kabisa kama ile ya mzumbe.Nihayo tuu wakuu anaejua anijuze.Ahsanteni!
Akili yako mwenyewe.. wewe kama ni ''Kilaza'' hata tukikupeleka Havard... utalalamika tu. Mwisho.... naomba hii mijadala ya vyuo isitishwe kwani wooote twaonekana ni wavivu wa kufikiri.. AHSANTENI.
Naomba kujuzwa kama hii degree programme Bsc. Animal Science and production ya SUA inalipa?
Nataka kupata taarifa kama baada ya kumaliza kozi hii soko lake mtaani likoje?? katika kujiajiri au...
Member wanahitajika kwa mradi unaotarajiwa kuanza haraka mkoani morogoro. Fika ofisini kwetu Tabata Aroma kwa maelezo zaidi au piga simu # 0715922392, 0767922392, 0714025656, 0767025656, au email...
Leo asubuhi wakati wa kupitia magezeti ya leo na RFA nimesikia kwenye gazeti la Mtanzania kuwa wahadhiri wa UDOM wanapanga kugoma tena baada ya kikao chao cha jana. Watangazaji hawakuongea zaidi...
Psychological Warfare, broadly defined as the attempt, usually during time of war, to persuade adversaries to behave in a manner desired by the source. The use of psychology as a weapon to assist...
Viongoz UDOM ndio wasababish wa Migomo yote iliyotokea na itakayotokeo siku zijazo kwa kuwa tangu 15/10/2011, chuo kilifunguliwa lakin cha kusikitisha ni kwamba had sasa wanachuo hawajawekewa...
Nilikua nayatazama maafari ya chuo kikuu dsm,mara nikasikia wahitimu wanahojiwa na mtangazaji kuhusu hisia za muhitimu katika maafari hayo,cha kushangaza akakimbilia kusema nanukuu "yani...