Inafahamika wakina mama ndio wadau wakubwa katika KUKUA KWA UCHUMI kutokana na idadi yao tanzania
hivyobasi ndo wakopaji wakubwa katika financial institutions hivi kwanini wasingepatiwa elimu...
Nikiangalia maisha ya huku kwetu, sio mazuri wala mabaya sana, sema kuna baadhi ambao wamefanikiwa, na wengine kama si tupo bado hoi,
Sasa kwa nchi za nje kuna mfumo wao wa watu kufanya kazi...
Guys ukiwa unasoma chuo kama udsm unaweza kufanya ishu yeyote ya kukuingizia kipato?naombeni mniambie kama inawezekana na ni ishu gani au biashara gani mtu unaweza fanya
nataka nifundishe mwaka mmoja tu then baada ya hapo niende kusoma university for degree programmes! ninatakiwa nifanyeje wana jf ili wasisimamishe mshahara?
Natumai wote mu wazima, samahani nahitaji kujua tittle ya kitabu kizuri cha kutengeneza database kwa kutumia SQL kwa beginners, yaani kwa mtu ambae hajui a wala b ya kudesign database kwa kutumia...
Walionzisha huo mfumo wetu wenyewe wanafanya UPDATE kila siku kwakuongeza specialization
kila ya kukicha mfano kuna kozi ya Degree inaitwa Front End Engineering ambayo ilikuwa sehemu ndogo sana...
Kila tukilala, Elimu.
Kila tukiamka, Elimu.
Namna ya kuishi, Elimu.
Kufanya biashara, Elimu
Kila tunachofanya, Elimu.
Jamani, ni wazi kuwa kila siku za maisha yetu inabidi tuwaze Elimu sababu kwa...
ndugu wadau wa Elimu Tz, hii sasa inatisha mno kwani pamoja nakuwa na bodi mpya ya elimu lakini hamna ambacho kitaenda kufanyika kwani mwaka huu wanasema kuwa mkopo haitatolewa kwa waombaji wa...
The secret, if there is one, to winning a scholarship is to read the application carefully and then provide all of the required information and supporting documentation before the deadline...
Gazeti la Mwananchi leo lina habari isomekayo Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwawa, amesema walimu nchini wangekuwa wanatumia nguvu kubwa wanayotumia hivi sasa kudai posho...
niambieni ukweli.kozi ipi huko chuoni inalipa na ajira zipo kemkem(Kwa sasa na kwa tanzania ya badaye) kati ya civil,telecom na electrical engineering.
Huwa yanikera sana kuona mwanamke mjamzito anasaidiwa na Doctor wakati wa kujifungua.
Hv ni kwamba hamna madaktari wa kike au ni nn?
Kwa nn wanawake wanadai haki sawa km suala hilo wanashindwa...
Wapendwa nimepigiwa simu kutoka mkoani na jirani yangu,kijana wake kapata nafasi ya kujiunga Mzumbe University,na pia amebahatika kupata mkopo lakini sasa amemwambia mzazi wake kuwa inatakiwa...
wadau mwenye cv ya watoto wa massaburi,deograius massaburi na john massaburi aimwage hapa maana hawa watoto eti wanafundisha kwenye chuo chake kiitwacho instistute of procurement and...
Hapa nchini kwetu kuna utaratibu unaotumika ambao ni usumbufu kwa wadau wa elimu hasa wanaoenda kusoma nchi za nje.
Mtanzania anapomaliza elimu katika nchi fulani kisha akarudi Bongo land kuna...