Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

wana JF naomba kuuliza, hiv kama m2 hajapata mkopo kabisa kwa sababu ya PRIVIOUS LOANEES anaweza ku appeal? kama anaweza, Je ?utaratib wa ku appeal ukoje? maana nlckia wanao appeal ni wale...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kuna kitu kilichonifurahisha mwaka huu ni vigezo vipya vya bodi ya mikopo. Yaani vimetukumbuka sisi wanyonge tusiokuwa na kitu ambao tunasomea shule duni na kila tukijitahidi kusoma kwa akili...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
The Norwegian Government funded Quota Scheme Scholarship for Master’s and PhD Students from Developing Countries at universities and university colleges in Norway Study Subject(s):Courses...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani nauliza hivi kwa nini serikali haijali walimu? mazingira magumu,kudharauliwa ndo usiseme! nini mtazamo wako?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF,nimatumaini yangu wengi ambao niwadau wa hili jukwaa ni wanafunzi wa vyuo,wahitimu na watarajiao kuwa wanavyuo. Ila kuna malumbano ambayo mara nyingi nimeyakuta hasa kwenye...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani suala la kukataza simu au laptops shule za bweni linashusha au linakuza elimu yetu? Mtazamo wangu. Kutokana na teknolojia ya sasa na vitabu havipatikani mashuleni si sahihi vitu hivi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nilijiuliza sana, kwanini siku hizi wanafunzi wanahitimu kidato cha nne lakini hawawezi hata kujitambulisha kwa kingereza. Japo hata kwa kutumia simple vocaubulary. Nilifanya utafiti, nikagundua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Vijana wanajitahidi sana kusaka elimu pasipo kuangalia kuwa wapi watapata kazi. Yap, vizuri ila jiulizeni mtafanya wapi kazi ndo muisake elimu kwa hasira.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
This year we r going to experience 4 unusual dates: 1/1/11 1/11/11 11/1/11 11/11/11..And that's not all.Take the last 2 digits of de year u were born now ADD the age u will be this year and...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi nilienda katika moja ya compus za St. Augustine University of Tanzania (SAUT) na kukuta undergraduate wanafanya registration ambapo kabla ya registration inatakiwa kwa mwenye mkopo alipe...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimae Wanafunzi wa mwaka 3 chuo cha mipango Jana walijitokeza kwa Wingi kwnye Presnttn ambayo Awali Waliogomea. Licha mgomo wao kutowasaidia chochote ili walazimu Kuandika barua ya Kujieleza...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa kutoka chuo cha MIPANGO Dodoma zinadokeza kuwa askari wa FFU wanarandaranda hapo kukabiliana Na dalili za virugu zinazotaka kufanywa Na wanafunzi wa mwaka wa Tatu wanaomalizia disertation...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
natamani kusomea udaktari wa mifugo Veternary Medicine, najua chuo ni kimoja tu hapa kwetu nifahamisheni changamoto nyingine na matumaini kama yapo kuhusu kada hii;
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Washington D.C., Sep 14, 2011 / 02:36 am (CNA/EWTN News).- A new report shows that Saudi Arabia, home to 15 of the 19 terrorist hijackers of 9/11, continues to promote a violent form of Islam...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu zangu, naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na mambo ya vyuo vyetu hapa nchini ambavyo hutoa elimu kuanzia ngazi ya degree, nina ndugu yangu amemaliza form six mwaka jana akapata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Dr shukuru kawambwa akihojiwa na Seleman mtangazaji wa ITV Katika kipindi cha Dkk 45 leo, kasema wazazi ndo Wenye Jukumu la kuwasomesha watoto wao, hata hivyo serikali itajivua gamba kwa mzigo...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu zangu, naomba kama kuna mtu mwenye uelewa na mambo ya vyuo vyetu hapa nchini ambavyo hutoa elimu kuanzia ngazi ya degree, nina ndugu yangu amemaliza form six mwaka jana akapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna kusita, Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi ivunjwe Maggid...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalaam! WanaJF, naomba kujulishwa kama ni kweli Hiki chuo kimebadili viwango vya kufaulu kuvuka mwaka (GPA) au ni kama zamani? Nina rafiki yangu ame-Disco mwaka wa kwanza (BSc) ila anadai GPA...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Wadau naulizia JE? Kwa wale waliokosa MKOPO kuna MATUMAINI ya kupata kitu chochote kutoka HESLB.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…