Kama umekosa mkopo halafu umepangwa kati ya hvi vyuo IFM,IAA au TIA,nadhani vle vyuo wanafunz wake huwa wanadhaminiwa na wizara ya fedha na uchumi,so ka umepangwa hapo,jaribu kuwasiliana na...
jamani kuna mgogoro wa uongozi na wakufunzi wa chuo cha ustawi wa jamii kijitonyama,mgogoro ulianza siku nyingi mpaka pro Rwegoshora akaondolewa,sasa nauliza wahusika mgogoro huu utaisha lini...
Vijana kwanza nawapongeza kupata udahiri pamoja na mkopo licha ya changamoto zilizopo. Msiopata mkopo poleni sana ila msikate tamaa, mkaripoti kigumu ivyo ivyo kwakuwa kuna nafasi za kukata...
Jjamani hawa TCU wameweka amount of loan, bila mchanganuo, naomba mnisaidie zile pesa walizoweka ni ada pekeyake? au ni pamoja na michango mingine?
nawasilisha, nisaidieni
Jamn nina kka yangu anataka kumtoa mtto ktk shule ya baraa sec ya hapa arusha anataka kumpeleka longido sec je kwa mnaoifahamu je inafundsha? Naomben msaada 2nataka elimu bora.
Eti waungwana,kuna dogo huku kitaa kapata chuo Mzumbe bt coz haielew elewi,ye alisoma pCB na matokeo yake ni dv 1 pts 9,anaulza ka anaweza kuhama chuo to Sua kupiga veterinary medicine?
nimesoma malengo ya somo la civics(uraia) kwa shule za sekondari na nimegundua hakuna sababu hata moja ya msingi ya kwanini somo hilo lifundishwe kwa kiingereza.zaidi ya 98% ya mambo...
Ngugu wanajamii, kama kuna mtu mwenye data kuhusu chuo cha ustawi wa jamii Dsm tafadhali anishushie.nahitaji kujua kuhusu kozi mbalimbali na ada zake. kama kutakuwa na prospectus au website site...
Wana JF,
hakika iddi imepita salama. Naanza muongo mpya kwa kujiuliza ni namna gani wahitimu wa shahada za juu ktk chuo cha SUA wanaorodhesaha shahada zao katika CV. Masters prog nyingi...
Ni ktk mtihani wa Islamic Knowledge
Source: Daily News
THE Northern Pemba region has taken the lead in the final primary schools' results on Islamic knowledge examinations held in the country...
Habari wana jf ninatatizwa na kiwango cha fedha kilichotolewa na bodi kuna watu hyo fedha inazidi gharama ya koz kwa miaka yote mitatu e.g jamaa yangu kapewa 3,147,500 na gharama ya koz/mwaka...
Kwa mwenye uzoefu au ujuzi hata taarifa yoyote juu ya taratibu ninazopaswa kuzifuata ninapoandika kitabu kitakachotumika kwa rejea ya ufundishiaji mashuleni. Taratibu ni zipi, kwa uandishi wa...
Thank you for your time, one of the schoolbook classic's objectives is to make schools open and social, through web and internet. The main themes here is to create a centralized way of accessing...
The new school profile for one school has been added in schoolbook classic today, you can see the profile through schoolbook classic site here and be first of your friends to see it. Thanks!!!