Baada ya ngojangoja ya muda mrefu ss hatimaye majina yametolewa hii leo.Wanafunzi wamepangwa ktk makundi mawili A&B.Kama ckosei ni kundi A tu ndio waliopata mikopo na B wamekosa.Kwa mtazamo wangu...
Wanajamvi naomba mnifahamishe kwa TUICO BEDA ada kiasia cha 3,262500.00 mi hapo natakiwa kulipa kiasi gani? Kwani nimetafuta www.tumaini.ac.tz haina fees structure nawakishalisha kwenu.
Tme ya vyuo vikuu nchini imetoa majina ya watu waliochaguliwa kujiunga na vyuo, tatizo langu ni ile pesa ya mkopo waliyotoa haina mchanganuo kama ni:-
-ada ya mwaka au ni miaka yote?
-ni pamoja...
Wana JF, kama wewe ni mtumiaji wa gesi nyumbani kwako, fungua hii linki ili ujihabarishe jinsi ya kuepuka kununua mitungi iliyokwisha muda wake ambayo ni hatari kwa usalama wetu.
MICHUZI: Gas...
TCU ilikuwa imekwisha weka majina ya waliochaguliwa vyuoni pamoja na waliopata mkopo na waliokosa mkopo.Lakini ghafla majina hayo ymeondolewa pasipo kuelezwa chochote. Awali tuliokuwa tunaangalia...
Kmpyuta 21 zadoda Sekondari kukosa umeme
Send to a friend
Tuesday, 30 August 2011 21:24
0diggsdigg
Phinias Bashaya, Bukoba
KOMPYUTA 21 zilizotolewa na mfadhili katika Shule ya...
sorry wadau,<br />
Hivi katika hali ya kawaida,gpa huwa inaongezeka kadri miaka ya kusoma inavyosogea au inapungua kutokana na labda ugumu wa course kadri miaka inavyosogea au inategemea na mtu...
I normally meet this word in either American English, spoken or Colloquial English. I need your help on what the word mean and in what situation is it suitable to be used.
Thank you
PROMO PROMO PROMO
Schoolbook classic is web portal for schools and academic entities. With schoolbook you can easily find different school profiles around the word, together with schools...
Habari wana JF?
Kuna jamaa yangu aliapply kazi za uandishi wa habari wa kimataifa (vyombo vya kimataifa kama BBC, CNN, Aljazeera, etc) alipofanya interview (ya kazi) yao walimjibu kuwa tatizo...
ndugy wana jf mimi nimesoma elimu ya kibongo na ya kingereza nimeina tofauti kubwa sana kwenye kumjenga mwanafunzi.nyie wakuu muna onaje tubadilushe mfumo au?
Wadau nimekuwa nikitatizwa na uwezo wa watu katika kufaulu mitihani. Kuna watu huwa wanafeli std 7 lakin huja kufaulu form 4, wapo wanaofaulu form 4 na kuja kufeli form 6. Na wengine wanafeli...
moja ya cfa ya m2 ku2nukiwa mkopo ni kuangalia shule alizosoma mhusika frm primary 2 A level. Sasa kwa cc ambao 2mesoma shule lets say za matawi ya juu na kumbe behind ze scene 2likuwa...