Hivi karibuni serikali imeanza mpango wa kutoa vyakula kwa wanafunzi mashuleni lengo ni pamoja na kuwavutia watoto kwenda shule. mpango huu umekuwa ukidhaminiwa na watu binafsi pamoja na mashirika...
NDUGU ZANGU, NIMEPOKEA TAARIFA HIZI ZA HUZUNI KUTOKA KWENYE VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI KUHUSU KUWASITISHA KAZI WAHADHIRI HAO. LAKINI NINACHOJIULIZA WAHADHIRI SASA NI WENDAWAZIMU WA KUDAI MAMBO...
Hakuna vita isisyo na wahanga, na katika kila
ushindi wa kuna walio tolewa kama kafara ili wengi wafaidi.
Katika harakati za kupigania vyama vingi wanasiasa nguli na shupavu, kama walivyo...
WanaJF wenzangu kuna ule msemo wa "Kizuri kula na nduguyo"kuna site nilipewa kwa wale wenzangu na mie tunaweza kutafuta namna ya kujiendeleza kielimu, kupata funds kwa ajili ya project na NGOs nk...
Jeshi la Polisi mkoa wa Dodoma linamshikiria Afisa utumishi wa chuo kikuu cha Dodoma@UDOM, P.LIPILI kwa tuhuma ya kupatikana na madawa yadhaniwayo kuwa ya kulevyo.Chanzo cha habari hii kimeeleza...
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
Habari zenu binafsi! Mi mzima naendelea kupumua kwa kweli.jamani hawa tcu wanataka raia tuchukue uamuzi gani? Wanatoa hadi tarehe ya kutoa majibu halafu wanapotezea.sio mambo na ninaungana na...
Wana jf naomba tujiulize swali moja la msingi sana.hawa watu wa tcu wanatoa majina ya wanafunzi waliokosa nafasi then wanaficha ya wale waliopata ambo ni wachache kuna siri gani??? Wanataka hawa...
Jamani naomba kuuliza. Chuo cha ustawi kimefutiwa usajiri kwamba kilikuwa hakina sifa ya kutoa shahada. Itakuwaje kwa walio pata shahada kabla ya kufutiwa usajiri huo. TCU tunaomba majibu
wana jf, hawa tcu wanenichanganya jumla. Walitoa list ya wanaotakiwa kufanya second app sikuwemo then jana nikapata info kuna list nyingine kucheki nimo na deadline imepita ila kuna opt ya kutuma...
WATAHINIWA AMBAO HAWATARUHUSIWA KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE {CSEE}2011
HAWA HAPA,
WATAHINIWA WALIOONDOLEWA KWENYE USAJILI WA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2011
Wana JF, Naamini hili ni jamvi lililojaa watu waelewa, wasomi, na wenye upembuzi yakinifu. Katika kuhitimisha masomo yangu napaswa kufanya research. Nimeamua kuangalia THE CHALLENGES...
Jamani kuna mdogo wangu amemaliza Form six HGL mwaka juzi akapata Division 3 akiwa na principle tatu.Hata hivyo kulingana hali ya maisha kuwa ngumu niliamua kumtafutia kibarua amudu kujikimu...