Haya ndio maamuzi ya kisiasa dhidi ya chama kinachotawala nchi kwani maamuzi ya kitahalumu yamewekwa kando na kulinda maslai yao kwa kufunika kombe mwanaharahu apite.
Wanafunzi wa udom kwa wale...
wakuu wa kinyanyiko mpooooo . Watoto wa mjare na kaaya mpooooooo . Salaamu zenu kutoka kwa mama kiungai na sogoi .halafu wakuu tulikuwa natu vifaidi vitoto vya zanaki na mara moja moja jangwani...
TANZANIA imeanza kutekeleza mpango wa kuajiri maelfu ya walimu wa masomo ya Sayansi na Hisabati kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa ni njia ya kukabiliana na upungufu wa...
Ni miezi nane toka wanafunzi wa chuo cha St.Joseph wamalize mwaka wa nne lakini mpaka leo hawafanyiwa graduation kwa kisingizio kwamba wanamtaka waziri mkuu Pinda au Jk ndio awe mgeni rasmi na kwa...
Habari,
Wapendwa, ningependa nijiendeleze kielimu kwa kupata elimu kwa njia ya Online.
Nini advantages and disadvanteges za kusoma online?
Pia mwenye list ya vyuo ambavyo vinatoa huduma hiyo...
Ninahitaji kupata uzoefu wa utafiti ili nami nianze tafiti zangu mwenyewe kama mpo wazoefu nijulisheni nije kupata uzoefu nipo tayari kufanya kazi nanyi kwa kujitolea(volunteering).
Please naomba...
Nimemaliza Elimu yangu Pale CBE 2007 Graduation ilikuwa 2008 eti mpaka leo huu mwaka wa 3 vyeti havijatoka sababu vinachapishwa Uingereza sasa sijui tunaelekea wapi? Ndio hicho kinachofanya chuo...
it is free!!very free!! Get spotted by your employer! welcome to an open day seminar on oracle certification program scheduled to take place at MASENO UNIVERSITY-IAT CAMPUS on 1st July 2011 from...
Written by Shifa Mwesigye & Hussein Bogere
Wednesday, 29 June 2011 20:51
In Kiryandong*o hospitals morgue lay 18 tiny bodies 15 on the floor and three on a concrete slab...
Hi everybody!! Nawakaribisha marafiki wote katika mtandao mpya na wa kisasa wa kijamii wa Kitanzania uitwao WasomiForum, WasomiForum inakupa uwezo wa kufanya discussion, private conversation na...
Ndugu zangu, natumia modem ya airtel na nimejiunga na data wiki kifungu cha 15000/. La kushangaza net iko very slow. Naomba msaada namna ya kurecover. Yaani natakiwa nisubiri kwa zaidi ya dakika...
TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA
NA SAYANSI ZA JAMII; CHUO KIKUU CHA DODOMA
WANAFUNZI WOTE WA MWAKA WA TATU CHUO CHA SANAA NA SAYANSI ZA JAMII
WALIOSIMAMISHWA MASOMO...
Jaman leo nimejikuta nalikumbuka hili jina la kiingereza ambalo linatumiwa sana kwenye shule za msingi likimaanisha Mwalimu wa Zamu. Lilikuwa very common miaka hiyo sijui kwa sasa kama bado...
The Bill and Melinda Gates Foundation will continue to assist Tanzania in research in health and agriculture sectors.The Foundation co-chair, Mr Bill Gates, assured President Jakaya Kikwete of the...
CHADEMA WASHINDA UCHAGUZI WA URAISI DUCE. KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA, UCHAGUZI ULIOJAA HISIYA ZA KICHAMA CHA CHADEMA NA CCM,, ANAYE TUHUMIWA NI MGOMBEA KWA TIKETI YA CHADEMA KASHINDA USHINDI WA...
Wandugu naomba kwa yeyote mwenye access ya free E-Resources kwa science & Technology anisaidie make nahitaji ku-access papers mbali mbali ambazo zitanisaidia kupata mawazo tofauti kutoka kwa...
Ndugu wadau wa JF currently kuna mchakato wa kozi ya pre-entry ya dipoloma kwa wanafunzi wa masomo ya sayansi na hisabati pamoja na kiingereza wenye ufaulu wa S na E. Na kwabahati mbaya wamekuja...