Poleni sana UDOM kwa migomo isiyokua na mwisho, siasa ya nchi hii chini ya sisiem ndio chanzo cha yote, Hakika mtaishia elimu ya VYETI tu huku kichwani hakuna kitu na field hamtapelekwa, makazini...
I have to come to realise that there is a leadership problem at Mzizima Sec School which used to be one of the most famous schools in Tanzania. It used to pose a stiff competition to other...
Spika wa bunge serikali ya wanafunzi chuo cha biashara Fred gibe pamoja na baadhi ya wabunge leo watamfikisha mahakamani Rais wao Gango Kidera....alisema kuwa tangu uchaguzi ufanyika mei 13 mwaka...
wahenga walisema Vita ya kunguru furaha ya panzi.leo ilikuwa siku inayosubiliwa kwa hamu na kila mtu udsm,wengine waliyatalajia yaliyotoke kwa kuzingatia uchaguzi uliotanguria (CASS) wakati...
DEGREE PROGAMMES AMBAZO
ZIMERUHUSIWA KUFANYA FIELD
PRACTICAL TRAINING MWAKA
HUU KTK COLLEGE YA
HUMANITIES AND SOCIAL SCIENCE
YA UDOM: Bachelor of
Business Administration(BBA),
Bachelor of...
Hawa bodi walianza kuruhusu watu waanze kutuma maombi yao toka mwezi 4......tatizo ni kwamba kila watu wanapojaribu kusign in..ishu inakataa na mwisho wa ktuma maombi ni 30JUNE...assume kwa wale...
Hali ya umaskini tuliyo nayo imechangiwa kwa kiasi fulani na utamaduni wetu wa kiswahili haswa kutokana na kuwepo kwa misemo mingi inayochochea uzembe kuliko kujibidisha. Baadhi ya misemo ya...
Nina mdg wng,yupo form three now,ila form two alipata wastan wa f,asa now si wajua hata ukipata f form three waenda tuu?then anasoma shule za kata,daftar zake nyingi hazjafka katkat kwa kuandika...
hey,naomba mnipe information concerning the above scholarships as they appear in the TCU guide..
for example,.bachelor of archtecture-arabic,.does this necessariry be applied by students with a...
Limelight meaning "the center of public attention" began as a dazzling and dangerous special effect.
In the early 19th century, a scientist discovered that forcing a combination of oxygen and...
Salary
Receiving a salary may seem sweet, but the word originates with a different flavor.
In ancient times, because salt wasn't always easy to come by (and because it was a leading way to...
WADAU NATEGEMEA KUANZA KUSOMA MBA NJE YA TANZANIA SIKU ZA KARIBUNI NAAMINI HAPA WAPO WALIOSOMA MBA NA HATA KAMA HAWAJA SOMA WAPO WANAOFAHAMU KUHUSU MBA.TAFADHALI NAOMBA MNIPE MUONGOZO KWA MAANA...
Kwa wale wadogo zangu ambao hawajajaza fomu za mikopo either saver inawasumbua au hawawewezi unaweza kupata msaada wa moja kwa moja kutoka kwangu. nakujazia then nakutumia fomu zako kwe e-mail...
Wana jf,mimi napenda sana kusoma mambo ya IT haya,ila sahivi npo chuo mwaka wa pili nasoma Bachelor of arts with education,kiukwel teaching sipendi kabisa nasoma basi tuu!
Sasa nimepata sponsor...
Jamani naombeni ushauri wenu jamani wadau, nina mdogo wangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate mwaka 2010 akapata div 4 akarudia tena mwaka 2011 kapata div iii ya pnt 17...
lowasa amezihirisha yeye pekee ndio mtu mwenye nguvu kubwa kuliko wote ndani ya chama cha mapinduzi,hii inzidi kujiziirisha baada ya kila mchezo wa fitina anao shiriki kushinda kwa hasirimia zaidi...
Hali ni mbaya.ule waraka wa waziri wa kubadili katiba za vyuo umekataliwa,wanafunzi wameanzisha vurugu na wajumbe wa kukusanya maoni wamenusurika kipigo.
Habari zenu wapendwa!nilikua nafuatilia kipind cha 5 connect kinachorushwa na eatv,mada ilikua inasema wapi ni wahitimu wanao ajiriwa kirahs kati ya waliosoma ndani ya nchi{i.e tanzania}na wale...