Hey elites there is new site 4 u,which is special 4 discussion of different issues.the site is special 4 all universities and college students of tanzania.you can open this site on ur mobile 4n or...
Pongezi ziwaendee wanamapinduzi na wanaharakati wote wa UDSM, kwa kazi nzuri mliyoifanya jana. Nnaamini siku zote haki hailetwi ulipo bali unaifwata huko huko iliko, mifano hai ni harakati za...
Sifuri hizi wenyewe ni JK, Lowassa
Na Joster Mwangulumbi - Imechapwa 02 February 2011
Tuseme Ukweli
VIONGOZI wakuu wa nchi wamefikia mahali sasa hawaambiliki. Ushauri wa kitaalam...
CHAMA cha Wahandisi Washauri Tanzania (ACET), kimesema kuwa idadi ya wanawake wahandisi Tanzania ni ndogo ukilinganisha na nchi nyingine kwani mpaka sasa wahandisi waliopo ni wanne. Akizungumza...
Je, kamati za shule za Msingi na Bodi za shule za Sekondari zinajuwa wajibu wake katika usmamizi wa Taaluma na matumizi ya fedha za Ruzuku {MMEM na MMES} zitolewazo na serkali?
kwa kuangalia harakaharaka migomo ya wanafunzi Tumaini na SAUT inaweza kuwa na maana lakini tukiangalia gharama za uendeshaji sidhani kama kutoa ada ya milioni 2.5 ni kubwa namna hiyo kama hawa...
Wapendwa wana jukwaa la elimu,nina maswali mengi kuhusu chimbuko la binadamu,baadhi ya maswali hayo ni , -je,chimbuko la binadamu ni arusha ? -kufuatana na elimu ya biblia tumeumbwa kwa...
KITOVU CHA MAANDAMANO YA WANAFUNZI VYUO VIKUU HIKI
Si tena habari ya kusimuliwa.Kila macho na masikio yanaona na kusikia yanayotokea.Karibu Vyuo vikuu vyote vimeshaandamana kulalama juu ya...
Wimbi la migomo na maandamano sasa limetua Mbeya. Wanafunzi wa Chuo cha Teofilo Kisanji (TEKU) jioni hii wamegoma na kuandamana katika maeneo ya Chuo chao hali ilyowaklazimisha wazee wa...
Nashangazwa na hii hali. Kwanini tusubiri matukio ndio yatuibulie mijadala juu ya mambo muhimu kama kiwango cha elimu. Je, kama matokeo ya mwaka huu yangekuwa wanafunzi wamepasi kwa asilimia 80...
Twendako giza, Maoni
VIONGOZI wakuu wa nchi wamefikia mahali sasa hawaambiliki. Ushauri wa kitaalam waliopewa juu ya uboreshaji elimu waliupuuza; wakakumbatia siasa ili wajisifu.
Mzaha...
Bodi ya mikopo kutinga kortini kwa kutowadai wakopaji
Mtanzania Sunday, 06 February 2011 21:54
Daniel Mjema,Moshi
WAKILI mashuhuri wa kujitegemea nchini, Albert Msando amesema anakamilisha...
:sad: ujue kuna vichwa vibovu vingi kibongo bongo but vinazidiana ubovu.
Suala la waziri wa elimu kwenda kukaa na wasomi wa chuo kikuu cha Dar halafu akashindwa kuongea nao jambo la maana kuhusu...
Professor Michael Sandel presents a lecture from his Harvard course in Political Philosophy. He explores the morality of murder and asks if there can ever be a case for killing.
Theme nzima...
Wanachuo wa chuo kikuu kishiriki cha SAUT, tawi la Mwenge wameingia kwenye mgomo wao rasmi toka asbui wakishnikiza kutekelezwa kwa madai yakiwemo ya kucheleweshewa hela ya kuikimu. Source, wanachuko.
Toka jana nipo Mbeya. Muda si mrefu nimepita mbele ya geti la chuo cha Theofilo Kisanji University Mbeya. Nimeona kuna FFU wanarandaranda ndani ya eneo la chuo huku baadhi ya wanafunzi wakikimbia...