Jana wkati taarifa ya uteuzi ya wabunge watatu iliyotoka Ikulu,
kuna kitu kimenishangaza.
Hivi lugha iliyotumika hapo chini ni sahihi? au Ikulu hawajui kiswahili?
MWISHO
Imetolewa na...
habari wana jf. naombeni msaada wa kitaalamu kuhusu usafi wa mwili. huwa najiuliza sana. kama kuoga ni usafi, taulo huchafuliwa na nini? watalaam wa afya watupe majibu ya kitalaam
Hapa naamini sitopata mtu hata mmoja.Nikimpata naamini mvua ya mawe inaweza kunyesha hapa JF.
Haya Tuanze na Mazengo,Pima,Meeen,Gaguti,Soap,Mugube,kusenha na Mtaalamu wa kilimo Prosefor...
Karl Marx huyu huyu unayemjua, anasema endapo mtu anataka kujua the position of the teacher in any society one must look at
the value his/her society places in education
the organization of...
Wanajamvi
Je kuna hadithi yeyote unayokumbuka kwente vile vitabu vya Primary English for Tanzanian Schools. Mr & Mrs Daudi, Baraka Neema etc
Unakumbuka Hesabu Za magazijuto?????
Unakumbuka...
Kuna vyuo vingi vya kufundishia unesi ambavyo havijasajiliwa na serikali haichukui hatua,pia wanafunzi wa vyuo hivyo haiwatambui,mbona sasa haivisajiliau kuvifuta?
Nimepoteza Mawasiliano na hawa Ndugu zangu Keffa Mkongwa na Betty Singano wote waliwahi soma Njombe Secondary Kidato cha tano na sita.
Walikuwa class mate wangu.
mwenye taarifa nao kati yao...
kwa wale wenye sifa au ndugu zao wajalibu kuomba scholaship hii hapa
Government Scholarships Developing Countries
Scholarship Awards within the Foreign Development Assistance Programme -...
For those interested and of a background in C#, Excel, Access, Delphi, JavaScript, Visual Basic, an easy route into web development is available in morfik 3.0.
A recent acquisition of morfik by...
SHULE ya msingi Mazizi iliyoko kata ya Gwata, tarafa ya Mikese, wilaya ya Morogoro imefaulisha mwanafunzi mmoja katika kipindi cha miaka saba iliyopita ilipoanzishwa shule hiyo.
Akizungumza...
Ni kweli preta inaweza kuwa ngumu kuelewa but ninachomaanisha ni kwamba every successfull man amestruggle vya kutosha.
Achilia mbali mafisadi coz wale si watafutaji, bali wanyonyaji!!!:cool:
Salaam wanajamii.
Naomba msaada wakuu kuhusu scholarship ya shahada ya uzamili nje au ndani ya nchi. Nimehitimu shahada ya kwanza ya elimu(Bachelor of Education) UDSM mwaka 2005. Natamani...
Utafiti unaonyesha jinsi watoto wetu wanavyopata elimu duni.
Fuatilia utafiti huo hapa chini
http://www.twaweza.org/uploads/files/Je_watoto_wetu_wanajifunza.pdf
:thinking: Dah! Wandugu nimekwama kidogo naumri nao umesoge naombeni mnikumbushie swala moja tu. Nataka kuandika HIstoria ya maisha yangu kutokana na kwamba nimepitia maswaibu mengi sana sasa...
Ebwana washkaji tuskate tamaa ktk swala zima la Education as we as more you struggle as more you succefull so mazee na waungwan wote wa MABUGHA CDTTI Haswaaa Tongora kaza buti mwana.:thinking:
Ndugu zangu nimesikia kile chuo kikuu cha kilimo wanafunzi wameanza kulipia cheti cha degree pamoja na trancript. sana mimi nauliza hii ccm inatupeleka wapi? ada yenyewe hatuwezi kulipa hizo 40%...
Wadau:
Sijui kama na shule nyingine kuna tatizo kama hili:-
Binti yangu amemaliza kidato cha nne "Kisutu Girls" mwezi huu na Graduation ilikuwa tarehe 26 Oct 2010. Kama ilivyo kawaida wamepewa...