Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari Wana JF, Ninaomba mnisaidie kwa anayejuwa VYUO VINAVYOTOA SHORT COURSE YA COMPUTER NA ADA ZAKE.
1 Reactions
3 Replies
498 Views
Kwa walio soma Maria De Mattias high school, ningependa kuomba msaada wenu kwanza issue ya elimu wanafunzi wanafundishwa then life style ya shuleni ikoje?
1 Reactions
1 Replies
217 Views
Kwa Nini serikali huwa inapanga wanafunzi waliotoka shule ya msingi Moja kwenda sekondari Moja darasa Zima isipokuwa tu wale wenye wastani wa A? Kwa Nini wasiwe wanachanganya wanafunzi kutoka...
3 Reactions
8 Replies
571 Views
Habari Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety. Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za...
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Kuna taasisi nyingi hivi sasa ni agents wa vyuo vikuu nje ya nchi,kama kuna mtu mwenye ushuhuda kuhusu ukweli wao kama sio matapeli naomba anifahamishe kabla sijafanya maamuzi,,,hususan TASSAA na...
6 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu,wakubwa shikamoni Straight to the point,Niko mwaka wa tatu chuo x, niliingia na mipango mingi sana nilivyotoka advance ya kusave boom ili ikiwezekana nifungue biashara kwasababu...
4 Reactions
10 Replies
399 Views
Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Heshima Kwenu, Nina binti anatakiwa awe shuleni form one mwakani.baada ya kuhitimu darasa la saba. SIFA ZA SHULE 1. Shule ni lazima iwe boarding. 2. ADA mwisho iwe milioni 2.5 kwa mwaka. 3...
0 Reactions
7 Replies
466 Views
Kuna kero imejitokeza VETA DSM kwa matokeo ya vijana usaili uliofanyika miezi kadhaa nyuma. Vijana wamefata matokeo na kujikuta wamechaguliwa course ambazo hawakuomba. Mfano kijana aliomba umeme...
1 Reactions
2 Replies
204 Views
Mimi ni mwanafunzi nimemaliza form four mwaka 2021. Na nikapangiwa stashahada ya ualimu katika masomo ya physics and chemistry. Katika kozi hii tunasoma miaka mitatu, miaka miwili advance na...
6 Reactions
10 Replies
526 Views
Katika safari ya elimu, tunakutana na maswali mazito: Je, tunasoma kwa ajili ya kujifunza na kufurahia mchakato wa maarifa, au ni shinikizo la kufaulu tu ndilo linatufanya tukaze akili? Wazazi...
1 Reactions
0 Replies
154 Views
Habari wanajamvi, Naamini tunaendelea vizuri na shughuli zetu za kufunga mwaka wa 2024. Mungu amekuwa mwema kwetu, na ni kwa kudra zake tunaendelea kuishi. Jana nilimtembelea rafiki yangu mmoja...
3 Reactions
2 Replies
345 Views
HABARI WADAU NAWEZA PATA JOINING INSTRUCTIONS YA MZUMBE SEKONDARI KWA KIDATO CHA KWANZA 2025, NIMEJARIBU MTANDAONI MPAKA SITE YA TAMISEMI SIJAFANIKIWA
0 Reactions
4 Replies
898 Views
Chuo Habari zenu wakuu, Sisi Wanafunzi tunaoendelea na mwaka wa masomo ukitoa wale wa Mwaka wa Kwanza ambao ni wapya hapa Chuo cha DIT (Dar es Salaam Institute of Technology) tuna changamoto ya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Hbr ya wknd ndugu zangu Niende moja kwa moja kwenye Lengo la kuandika uzi huu, Nina mdogo wangu ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu,alisoma combination ya HGL na kufanikiwa kupata matokeo...
0 Reactions
9 Replies
10K Views
Habari wa jamvi!!, nawasalimu kwa jina la jamhuri. Naomba kwa mtu aliyewahi kusoma course yeyote ya Afya Ngazi ya Bachelor anipe hali elimu ya kule ikoje,Ada kwa mgeni,maisha kwa mgeni,tamaduni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SERIKALI IANGALIE VIZURI MFUMO WA AJIRA PORTAL, KUNA DALILI ZA WAHUNI KUSIMAMIA MFUMO HUU WA AJIRA. Tarehe 13 Desemba, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya...
2 Reactions
0 Replies
518 Views
,..............
1 Reactions
17 Replies
4K Views
As the heading says, we are opening a coding school in Dar starting January 2025. This isn’t a formal announcement…as more professional ads will be coming soon. If interested for you or your...
3 Reactions
4 Replies
284 Views
NAOMBENI MNISAIDIE KIDOGO,, NIMECHANGANYIKIWA! HIVI NINA DEGREE YA UALIMU WA MATH'S AND PHYSICS, NACHOHITAJI KUJUA NI KWAMBA NARUHUSIWA KUOMBA AJIRA SERIKALINI ANGALAU NIKIWA NA GPA YA NGAPI.¿...
4 Reactions
22 Replies
745 Views
Back
Top Bottom