Good Afternoon my dear brothers and sisters out there.
Eti wadau, tunaweza kufuta form six?? Mwanafunzi akianza form one, aende mpaka form five (Non stop) alafu chuo??
Yaani tunaua mitihani ya...
Changamoto inayowakumba wazazi wengi wanaotafuta elimu bora kwa watoto wao licha ya vipato vidogo.
Ndugu wanajamii, mimi ni mzazi naomba msaada wenu kupata shule bora na yenye gharama nafuu kwa...
Habari ya leo,
Nimeandika vitabu vya English na Math Mitihani 20 na majibu yake kila kimoja kwa shule za msingi (Darasa la Tano hadi la Saba wanaweza kuvitumia).
Ninauliza nitapata changamoto...
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na...
1. What is the primary function of commerce?
a) Production
b) Distribution
c) Consumption
d) Exchange
2. Which of the following is a type of trade?
a) Domestic trade
b)...
Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa...
Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe.
Muhutasari huu hapa.
Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu...
Wenzetu hawalali kila siku wanapenda kujua siri za Sayari zilizopo karibu na Dunia yetu, Chombo kinachohusika na masuala ya masafa marefu ya Angani Nasa wanafanikiwa kuweka rekodi ya Dunia kuwa...
Last week nilikua napitia matokeo ya madogo wa form six kwa Special Schools (Mzumbe, Tabora Boys, Kibaha na Ilboru) lengo ni kuhesabu One za Tatu yaani ni za kutafuta kwa tochi... Nimeambulia...
Mwanza ni moja ya mikoa michache Tanzania iliyo na vibe la aina yake,kuna watu huvutiwa na mkoa huu kwa kuishi, kusoma ama kufanya kazi,kwa wale wanaotafuta vyuo mkoa wa mwanza hii hapa orodha ya...
Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi.
Wana JF nipeni...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha DIT (Dar es salaam) pamoja na MUST(Mbeya) katika course ya computer engineering.
Swali langu ni je, niende...
Changamoto za Wanafunzi Walionufaika na Samia Scholarship – Ombi la Msaada
Tunapenda kuwasilisha changamoto zinazowakumba baadhi ya wanafunzi walionufaika na Samia Scholarship katika Chuo Kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.