Nimechaguliwa DMI bachelor Maritime Transportation lakini sina ufahamu wowote kuhusu hii kozi? Then ni kozi gani nzuri kati ya Maritime Transportation na Marine Engineer?
HIZI HAPA HATUA TANO ANAZOPITIA GRADUATE WA KITANZANIA ANAPOMALIZA CHUO.
1. Mwaka wa kwanza baada ya kugraduate.Hapa bado kitaa hakijachanganya, anakua na hope kwamba atapata kazi muda wowote...
Matokeo ya kidato cha pili na darasa la nne yaliyotangazwa jana yameonyesha hali ya ufaulu wa wanafunzi nchini, yakitoa taswira ya maendeleo na changamoto zinazokumba sekta ya elimu. Ingawa baadhi...
Wakuu samahani.
Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)?
Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response...
Wadau habarini!!!
Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti...
Kwa kuzingatia kichwa cha thread hapo juu,nawakaribisha kwa heshima na taadhima wadau wote na marafiki wa mazengo secondary humu ukumbini japo tukumbukie,tufahamishane zaidi kuhusu historia ya...
Samahani wanajukwaa,
Ninaomba kufahamishwa juu ya kozi tajwa hapo juu inayotolewa na chuo cha Muhimbili katika hospitali ya KCMC chini ya RDTC, hususani unatambulikaje baada ya kuhitimu hiyo...
Wakuu naomba mnasaidie link za moja kwa moja kwa matokeo ya shule hizi mbili simu yangu ni kpengele kdogo kufungua ile link ya matokeo ya shule zote. SHule zenyewe ni 1. IHANGA SECONDARY (MBEYA...
Hii imekuwa too much sasa, hawa mabinti wa saint francis wanaifedhehesha Necta 😂
Division 1 ya saba kwao imekuwa kama kumpa samaka mtihani wa kuogelea, kila mwanafunzi anaibonda !!
Shule imesha...
Kigezo cha kuajiriwa serikalini ni unyonyaji usio na mantiki yoyote. Kinacholenga kutufanya taifa lenye watu wengi wasio na elimu ya kutosha, hali inayokwamisha maendeleo ya kitaifa katika nyanja...
Wakuu habari, poleni na majukumu.
Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya...
Wakuu chuo gani Cha veta hapa Tanzania wanafundisha kozi fupi ya steel fixing/USUKAJI WA nondo na ada yake ni kiasi gani?
NB:Kama Kuna sehemu wanafundisha hata kama sio veta naomba mnielekeze...
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4...
Nimekuwa nikipiga kelele humu JF serikali ianzishe kitu kinachofanana na EWURA kwenye maji na nishati kwa masuala ya ELIMU lakini serikali imekaa kimya kwa kuwa miradi hii ya shule binafsi ni ya...
Ukijua kutumia CHATGPT, GEMINI na google scholar, utaweza kuandika research project au thesiss yoyote kwa urahisi.
Lugha nzuri za ki academic, translations kwa lugha yoyote, mpangolio nzuri wa...
Wakuu hawa watoto wetu si watavunjwa mabega dogo ameanza shule leo darasa la kwanza masomo nane.
Yaani madafutari 8+ vitabu 8 jumla kumi na sita vyote anatakiwa avibebe kwenye bag, dogo ana miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.