Habari zenu,
TaiwanICDF Scholarships zimefunguliwa kwa sasa.
Ni full funded kwa masters na PhD
Ukitaka hatua zote za application zipo kwa website Yao, nenda google alafu search TaiwanICDF...
Habari ndugu Wana JF,
Kwanza nimshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai.
Pili, nawaomba wazoefu na Mambo wanipe elimu/ufafanuzi juu ya wazo langu lifuatalo kuhusu masomo ya elimu ya juu!
Kabla...
Kuna video zilisambaa zikionyesha mabinti wa Baobab secondary wakifanya video za uchi na vitendo vya usagaji.
Hii shule inamilikiwa na nani?
Uongozi wa shule ya Baobab haujaomba radhi wala...
Wajumbe nimepitia mtaala mpya nikakuta masomo 6 ya lazima moja wapo ni somo business studies ikielezwa kwamba ni mbadala wa commerce. Somo hili linaambatana na hesabu, historia ya Tanzania 🇹🇿 ...
Napenda kuwasapa salamu rafiki zangu.
Kama nilivyosema hapo juu kuhusu dondoo za masomo ya ngazi ya PHD katika chuo cha UDSM.
Nimekuwa nikipata ukakasi wa kwenda kusoma hapo kwa kushauri kwamba...
Kwema wana JF,
Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo...
Habari Wana JF!
Je, wewe ni mmoja wa walimu unaejiandaa kwa usaili wa mchujo (Written Aptitude Test) au Oral Interview sekretarate Ya AJIRA na umekuwa ukijiuliza uanzie wapi au material gani ya...
MASWALI YA KISWAHILI
Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha...
Habari wakuu,
Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la...
Habari wakuu?
Mwaka mpya umeanza kwa kasi, inabidi tuanze punguziana machungu sasa. Mimi niko Dodoma, kuna namna nimekuwa nahangaika na masomo ACCA kwa muda mrefu bila mafanikio.
Naomba kwenye...
Ni kweli kuna tatizo la ajira lakini viwango vimetofautiana kwa kozi
Kuna kozi kama Bima, Environment, Philosophy, siasa, Business administration, n.k. Ni ngumu kujiajiri na ni nadra kusikia...
Ndugu wana jamiiforum ni matumaini yangu nyote mnaendelea vyema.
Nina mdogo wangu anaenda kidato cha pili sasa , lakini kutokana na chanagomoto za kiuchumi nina wasiwasi huenda si ndoto yangu tu...
Understanding the Role of Clinical Dietitians in Patient Care
Dear Medical Doctors, Nurses & Allied Health professionals.
Heri ya xmass & mwaka mpya!
Introduction
We value your dedication to...
Habari wana jukwaa,
Naulizia ni Certifications zipi zipo kwenye Market ambazo watu walioko kwenye field ya Computer Science/IT-related field wanapaswa kuzisoma na kuzipata ili waendane na...
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University...
Nina kero ya kutotatuliwa changamoto ya kimatokeo zaidi ya mwaka mzima, kutoka katika chuo Kikukuu cha mtakatifu Augustino Mwanza, amabapo kero hii imekuwa ikawakumbuka wanafunzi wengi hususani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.