Wadau naomba kujuzwa kuhusu hiyo mada hapo juu.
Mimi sio mtaalam wa computer. Nipo field tofauti.
Dogo yupo advance anataka kujikita katika ishu za computer huko mbeleni at the university...
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
Habari Wana JF, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka hapo juu. Naomba taarifa kwa wanaofahamu short course yoyote ambayo ni related na maswala ya fire fighting. Natanguliza ahukrani
Naitwa Google Diggers. Nina miaka 31
Nina degree ya Sanaa yaani bachelor of arts na nina stashahada ya masuala hayahaya ya Sanaa. Kifupi ni Political sciences.
Nataka kufanya post graduate ya IT...
Habari wakuu
Je, Power of Attorney inaweza mpa mtu mamlaka ya kunichukulia cheti chuo maana clearance nimemaliza na vyeti bado havijatoka, natarajia kusafiri kwenda Marekani keshokutwa. Nataka...
Ikiwa ndio kwanza unajiunga na chuo au upo chuo; aidha unaingia mwaka wa pili au wa
tatu, wakati ni sasa na bahati ni yako. Kiukweli ukiwa chuoni huwezi ku “feel” tatizo la
ajira ambalo wahitimu...
Ofisi za postgraduate SUA ni changamoto kubwa sana kwa wanachuo yaani kama sio mazingira ya rushwa basi kuna changamoto kubwa kwenye usimamizi wao.
Nadhani wanachangia kwa sehemu kubwa wanafunzi...
Kumekuwa na kesi tofauti juu ya kudukuliwa kwa mifumo ya matokeo vyuoni na kubadilishwa. Kwa mfano alikuwa amefeli mwanafunzi ila mfumo unadukuliwa na kuandikiwa PASS.
Sasa naomba kujua hii huwa...
Tangu kuzinduliwa Kwa application Mpya ya kusaini pesa za kujikimu maarufu kama HESLB wallet mtandao hakuna watu wamepewa pesa lakini wanashindwa kusaini kutokana na tatizo la mtandao..
Ukienda...
Wizara ya Mikopo itazame Chuo vha Mipango kuna shida gani?
Kila mara Wanachuo wanacheleweshewa Fedha za Kujikimu (boom). Pesa ziliwekwa kwenye mfumo tangu Oktoba 19, 2024 kisha Oktoba 30...
Kero.
Mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mengwe, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro ninawasilisha kero kwa niaba ya wakazi wenzangu wa Rombo.
Muhula mpya wa Masomo umeanza Januari 13, 2025 lakini...
ENGLISH TEACHERS TANZANIA
As a teacher preparing for a written aptude test in English or Written Test ,
it’s important to start with a clear understanding of the key areas that will be or are...
Wakuu habari.
Mwanangu ameingia class 4 mwaka huu. Ila shule aliyopo imekuwa na mwenendo mbaya, kiasi kwamba kwa mwaka 2023 na 2024 wazazi wanaojitambua wamehamisha sana watoto wao. Sasa huyu wa...
Ndugu zangu JF,
Rafiki yangu amedisco chuo kwa kutohudhuria mtihani anampango wa kustisha masomo na ku apply upya nilikuwa naomba ushahuri na muongozo tumsaidie.
Anahitajika mwalimu wa English language, shule ni ya serikali IPO mkoa wa dodoma wilaya ya chemba (Kijijini sana ila umeme na maji vipo)
Ambaye yupo siriazii anicheki...posho IPO sio sawa na...
Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi...
Sababu:
Nimekuwa nikitumia muda mwingi kujifunza mambo nje ya darasa, kama vile:
Programming
Blockchain technology
Web Development
Akili Bandia (AI) &Machine Learning
Ujuzi Mbalimbali wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.