Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama...
Habari wadau.
Nazani wote tunajua kwamba kuna wimbi kubwa la wa Tanzania kupeleka watoto kusoma india.
Nimegundua wahindi wengi wenye big position na matajiri ni alumni wa India institutes of...
Kama ulidhani kusoma UDSM ingekuwa kete ya wewe kuonekana unafaa zaidi fikiria mara mbili:
Samia Suluhu Hassan
Emmanuel Nchimbi
Amos Makala
Steven Wasira
Hawajahi kukanyaga UDSM
Mzumbe...
Shule ya BEROYA MISSION SECONDARY SCHOOL iliyopo mkoa wa Pwani, Bagamoyo kijiji cha matimbwa ilianza kuchapa wanafunzi mwishoni mwa mwaka 2023 kwa kutumia mabomba ya maji.
Watoto wanakuwa na hofu...
Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), ulipaji wa ada wameweka kwa awamu nne kwa mwaka, Semester ya kwanza awamu mbili na ya pili awamu mbili.
Ajabu wameweka deadline ya kulipa ada na mtu akichelewa...
Nchi nyingi duniani zinafuata mfumo wa Elimu wa *Prussian Education System".
Tanzania pia tunafuata mfumo huo.
Hata hivyo nchi nyingi Sasa hasa zilizo endelea zimesha achana na mfumo huu...
Habari za muda huu wanaJf.
Kama kichwa kinavyojieleza,nina mdogo wangu anasoma "Bachelor of Project planning and community dvt" anatafuta taasisi ya kufanya mafunzo kwa vitendo(field) mkoa wowote...
Licha ya kutangazwa kwa ufadhili wa masomo ngazi ya Master's Degree kupitia Samia Suluhu Scholarship na wanufaika kuorodheshwa kwenye Website ya bodi ya mikopo inayofahamika kama HESLB.
Lakini...
Wasalaam wanaJF...
Naomba kufahamu... hivi nikitaka kusomea Driving pale chuo cha NIT ili niweze kufikia ngazi ya 'Senior Advanced Driver' (nadhani ndiyo VIP/Executive level), itanichukua muda...
Habari Ndugu zangu..
Nimekuwa nikisoma vitabu mbalimbali kupitia maktaba za serikali, ila nmepitia online pia. Kusoma ni jadi yangu na kupitia vitabu najiona kama naongeza vitu vingi sana ambavyo...
Jinsi ya Kujitayarisha na Kujibu Aptitude Test au Written Test
1. Tambua Majukumu Yako ya Kazi
Anza kwa kuelewa kwa kina majukumu yako ya kazi. Unganisha majukumu hayo na dhana maalum, kanuni za...
Wakuu,
Ni rasmi sasa imebaki miezi 4 mpaka wanafunzi wa kidato cha 6 kuanza mitihani yao ya mwisho ya NECTA.
Kulingana na ratiba hii, mitihani hii itaanza Mei 5, 2025 na itaisha Mei 25, 2025
Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa...
Sifa ya Chuo: Chuo cha Kati.
Idadi ya wanafunzi Chuo kizima: Approximately 7000.
Kozi ninayo chukua? " "
Duration : 3.months.
Idadi ya wanafunzi:
Kozi nzima : 300 plus.
Darasa langu ...
Jaman, kwanza nawasalimu kwa jina la mungu, na natumai ni wazima wa afya ila kama afya iko vibaya mungu akupe ahueni🙏
Wakuu mim ni mwanachuo naesoma Bachelor of education in science (physics)...
Ninaomba ushauri, nina ufaulu wa Phy D, Math D, Chem C, Bios C na Geo C na nahitaji kusoma Mechanical maana advance combination zinabalance arts, je nifanyeje? Na ufaulu huo na nikipata two?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.