"Mwalimu, nadhani ni muhimu sana elimu ya maadili kufundishwa kwa wanafunzi mara tu wanaporipoti vyuoni.
Hii ni kwa sababu inawasaidia kujenga msingi bora wa tabia, kufanya maamuzi ya kimaadili...
Mimi ni mhitimu wa BACHELOR OF SCIENCE IN ECONOMICS AND FINANCE, SINA MPANGO WA KUAJIRIWA NATAKA KUENDELEA KUFANYA MAMBO YANGU (INVESTING) HUKU NASOMA.
Mambo yangu niliyaanza tokea nipo form 4...
Nina wadogo zangu baadhi wameamua kwenda kuanza mapema kusomea Taaluma vyuoni.
Nikiwa kama mtu mzima ninayezijua changamoto za wahitimu wa sekondari kupata wakati mgumu kuchagua taaluma ya...
Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana...
Chuo Cha Duce ( Dar es salaam University College of Education)
Department ya fedha inawasumbua wanafunzi wanaodai refund.
Refund hyo ni pesa ambazo wanafunzi wanapaswa kurudishiwa baada ya wao...
Habari zenu wana jamii forums? Hususani jukwaaa hili la stories of change Nitumaini langu nyote ni wazima.
Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali...
Mimi ni mmoja wa wahanga waliohudhuria usaili wa somo fulani mkoa wa Kilimanjaro ambapo watahiniwa walikuwa zaidi ya 500
Usimamizi ni imara na mkali sana dhahiri jambo hili lipo makini.
Ila cha...
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama...
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Kikuu katika Mwaka wa masomo 2024/25
Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi ambazo ni chaguo bora, hasa kama bado hujaamua unataka kusoma nini. Shahada...
Huu Mtaala mpya unaohusu Watoto kuishia Darasa la Sita hakuna vitabu hata kimoja mpaka leo tangu Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda alipotangaza juu ya mabadiliko hayo.
Kila tukiuliza wanasema...
Tunapojadili kuhusu kushuka kwa elimu yetu na kupungua kwa ubora wa wahitimu tusisahau kuangazia vinu vinavyozalisha wasomi hao. Juzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni mhadhiri katika Chuo...
Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu
Civics D,
His F,
Eng D,
Chem D
Biol C
Kisw C
Marh F
Mtoto anapenda kusomea...
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.
1. Anthony Mshandete, 2439 citations
https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG=
2...
Habari zenu wana JF
Naomba kujua mshahara wa mwalimu wa s/primary ngazi ya cheti [ lll ] kwa mwezi kwa wale walioanza kazi mwaka 2013 ukiondoa makato yao yote yani ile salary taslim inayoingia...
Mara nyingi Kigoma inachukuliwa kuwa nyuma mambo mengi
Asante sana Ahawa secondary Kibondo Kigoma kwa matokeo haya ya juu mno mtihani wa Taifa form four wote 84 division one tena mchepuo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.