Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu.
Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila...
Ushauri wa hizi kozi tatu za kusomea wadogo zetu Waliopata DD Tano FORM FOUR ipi ina uwanda mpanda Na vitu gan vya msingi aandae mapema akitaka kuomba Kuanza Kusomea CERTIFICATE
1.HUMAN...
Habari wanaJF.
Naomba kujua hivi proposal presentation inakuwaga na marks ngapi kiujumla? au marks huwa zinawekwa kwenye dissertation kwa ujumla na sio proposal peke yake, namaanisha marks...
Kwa yeyote aliye mwalimu au mwenye kujua kuhusu mikopo kwa waalimu naomba kuuliza...
Je, inawezekana kukopeshwa pesa ndefu(about 60M-80M) kutoka benki(kwa udhamini wa mwajiri na mshahara ) ikiwa...
Wadau habari za majukumu ya kila siku? samahani napenda sana kusoma online hasa kwenye website mbalimbali lakini sasa nataka nianze kusoma course zinazotolewa na free websites kwa ajili ya kujinoa...
Wakuu katika kuongeza thamani .
Nimefikiria nisome short course ya office management.
Sasa wadau nauliza je nitaweza kupat Website gani ambayo nitasoma bure na kupata Cheti naomba ufafanuzi wakuu.
habari zenu wakuu,
naomba ufahamu kuhusu hizi diploma,
1. tofauti ya ordinary diploma, advanced diploma na post graduate diploma ni ipi?
2. mtu mwenye ordinary diploma yupo eligible kusoma post...
Hawa watu wanaosoma degree ya Political Science katika vyuo vya hapa Tanzania huwa wanaajiriwa wapi? Ni kazi gani mahususi ambazo zinahataji waliosomea political science tu?
Hii degree naona...
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.
Mimi naomba ni washauri kama...
Nimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome...
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy...
Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo
Phy D math D chemia C Biology C.
Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee...
Amani ya Mungu iwe nawe.
Naomba kufahamishwa sifa ya kujiunga na chuo kinachofundisha Plant Mechanics pia vinapatikana mikoa gani kwa hapa Tanzania.
Asante.
Naomba kuwasilisha kero yangu hii kwa viongozi wa sekta ya elimu Tanzania. Kwa miaka kadhaa kumekuwa na tabia ya watungaji wa mitihani ya Kidato cha Nne hasa kwa masomo ya sanaa, kutumia lugha...
Serikali ina haja ya kutazama mpya juu ya suala la mtaala ulioboreshwa wa kidato cha kwanza 2025, kwa hakika mtaala huo haukidhi vigezo kwa mtoto wa kidato husika kwa sababu baadhi ya mada mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.