Habari za siku ya leo,
Swali lang ni kwa yeyote anayejua baadhi ya vyuo mbalimbali vinavyotoa degree za computer science.
Nitashukuru Sana maana nipo kwenye mikakati ya kutafuta ila sioni...
First of all.let me.declare interest, Mimi NI Alumni wa Mlimani Primary School, a class of 1998.
Nimekutana na classmate wangu akiwa na mtoto wake ambae amemaliza darasa la Saba mlimani Primary...
Navigate www.researchlinktz.com and view the "Opportunities' page to see this scholarship. If you want to apply we can give assistance. You can write to info@researchlinktz.com or see contacts in...
Nitakuwa naweka hapa vitabu vinavyotumiwa katika mataifa mbalimbali kuanzia elimu ya sekondari mpaka Chuo Kikuu. Jisikieni huru pia kuweka vitabu vyo vyote vile vinavyotumika mashuleni na vyuoni...
Habarizenu wanajukwaa,
Naombeni ufafanuzii kuhusu course tajwa hapo juu kuhusiana na kazi zakufanya baada ya kumaliza masomo chuona, chuo kipi Bora hapa Tanzania katika utoaji wa course tajwa...
Habari wana JF hongerini na ujenzi wa Taifa letu pendwa TANZANIA
Wakuu Naomba msaada wa mambo kadhaa juu ya kozi ya usimamizi wa wanyama Pori.
Nimechaguliwa kujiunga na Chuo Cha usimamizi wanyama...
Habari za kazi wanajamvi.
Samahani, miongoni mwa kozi nne alizopata bwana mdogo katika maombi ya vyuo vikuu kwa msimu wa masomo wa 2022/2023 ni pamoja na kozi tajwa hapo juu (Bachelor in Security...
Habari,
Msaada jamani juu ya hii kozi ya bachelor degree in project planning and management hivi inahusiana na Nini? Pili soko lake la ajira likoje hapa Tanzania?
Ajira zake serikalini zipo au...
Kenya inapeleka walimu wa lugha ya Kiswahili nchini Qatar, na kufanya idadi ya Wakenya katika eneo hilo la Ghuba kufikia 75,000.
Walimu hao wataungana na wauguzi na wafanyakazi wa usalama...
Wale mliopotia pugu sec myanielewa
Wengine waliitea pond boys
Wengine fungus boys
Yaani baadaeee BAADA ya mateso ya kujikuna SEHEMU za Siri kunywaa madawaaa kibaokoo Badoo wengine...
Habari zenu wadau wa jukwaa la Elimu
Siku ya leo nimeona niwaletee Shule 3 bora za serikali katika mkoa wa Dar es salaam.
Kama ndugu au mtoto wako ikitokea amepangiwa shule ya kata na unataka...
Wakuu habarini.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29
Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu...
Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza.
Siandike kuweka...
kilichotikea leo ni moja ya usaili katili sana kuwahi kushuhudia nimefanya interview shule nyingi za private lakini kwa huu nmenyoosha mikono.
kwa walimu ambao bado hamjasailiwa mjipange kule...
Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭
Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni...
MASTERING INTERVIEW RESPONSES NATURALLY: A GUIDE FOR SECRETARIATE JOB INTERVIEWS OR ANY PROFFESSIONAL.
+255656480968
👉In a professional interview, questions should be clear, measurable, and able...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.