Habari ndugu zangu,
Naitwa Paschal, nipo Dar es Salaam, Kigamboni. Nimekumbana na changamoto ya kimatokeo, kwani inatakiwa niingie mwaka wa tatu katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere...
Kazi ipo walimu,sio mcheza leo kwa mara ya kwanza waziri wa elimu prof mkenda amesema kwanini walimu tunasailiwa.
Jipangene jamaa wapo siriasi.
Tusipovuka mwaka huu vigezo vya msimu ujao vitakuwa...
Habari wanajukwaa!
Je, kuna utaratibu wowote kwa shule ya Sekondari kuamuru kumfukuza shule mtoto mwenye ufaulu hafifu?
Nimekutana na hii scenario katika shule moja ya Sekondari iliyopo mtaa wa...
Habari
Natafuta english medium primary school kwa Dar es salaam zenye school fees below 1 million . Kuna research nahitaji kufanya nao niwasiliane nao. Ntapendelea kwa Dar eneo lolote.
Asante
Aisha alikuwa na ndoto kubwa—kumaliza thesis yake kwa wakati na kupata alama za juu. Alikuwa na mawazo mengi kichwani:
"Nitapataje reliable sources?
Literature review itanichukua muda gani...
Wakuu Habari za Wakati, Kuna kijana kaniomba ushauri juu ya kipi akasome Veta, hasa long course. Kwa ufahamu na uelewa wangu nime mshauri ajaze kozi zifuatazo;
01. Designing, sewing and clothing...
Okay ,, nimejaribu kufuatilia ajira za walimu zilizotoka hivi karibuni na nimegundua kuna uwitaji mkubwa sana wa walimu wa commerce kwa ajili ya kufundisha kidato cha kwanza hadi cha nne
Ndiyo...
Toka miaka ya 1700s tumekuwa tukifundishwa ya kuwa mwanga wa jua unatengeneza hewa ya oxygen kupitia photosynthesis, mfumo muhimu wa kiasilia unaofanya maisha ya dunia kuendelea kuwepo, mimea...
Habari zenu humu ndani,
Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private...
Hata humu sijaona wadau wa maendeleo kama LIKUD na wengine team kataa EMS.
Mada za kijingajinga ndo zinapewa airtime😀😀😀.Hili taifa limekumbwa na nini???!!!
Wakuu naomba ushauri kati ya kusomea bachelor ya forest na bachelor ya animal science ipi ipo vizuri ki ajira pia katika usomaji ipi haipo complicated na ipi ipo kirahisi katika usomaji msaada...
Kwa wale Old Boys wa Old Moshi Secondary School (Moshi Secondary School),
Bila shaka tunaikumbuka shule yetu. Shule hii pasi na shaka inastahili kutambuliwa kwamba ni Shule Kongwe. Kwa tuliosoma...
Watu naona wanauliza uliza siri ya mafanikio ya baadhi ya shule binafsi za sekondari hapa nchini, siri ziko 2 tu, kwanza sio siri maana hizi mbinu japo sikubaliani nazo ila zinafahamika na...
Ndugu wanajamhuri ya Jf nini litoto langu pale nyumbani. Nililisomesha mipango dodoma akasoma coarse ya urban planing .. sasa najiuliza ataajiliwa kama nani maaana hata sielewi naomben msaada...
Mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka jana na nilipata ufaulu ufuatao
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D'
Ni kipi kitakuwa sahihi zaidi...
Hello!
Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.