Ndugu wajumbe wote wa jukwaa hili tukufu na wasomaji wote, naomba tujielekeze kujibu hilo swali hapo juu.
Uchawi ni sehemu ya dini za kimila imekuwaje Uchawi umeaachwa
Ni hayo tu
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi Novemba 29, 2024.
Matokeo hayo yametolewa rasmi leo...
MTIHANI WA UWEZO (APTITUDE TEST) KWA MWALIMU WA SOMO LA KIINGEREZA – NGAZI YA CHUO KIKUU (DEGREE)
Subject (Knowledge & Understanding)
1. What is the primary function of a conjunction in a...
Scholarships now open!! —
Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in...
MASTERING THE ART OF APTITUDE TEST STRATEGY 💪
With metacognition approaches —be smart, not just intelligent 🧠.
Kama wewe ni msailiwa, usitoke hapa!
By Mr. Josephat
📍 Dar es Salaam, Tanzania
📞...
Habari zenu wapendwa mimi nimemaliza form four mwaka wa jana matokeo yametoka mwaka huu sasa nilikuwa na omba kuuliza kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa kidato cha tano katika shule za serikali...
Habarini.
Nina hitaji mtu yeyote anayeoma archeology hasa UDSM au chuo kingine.
Pia kama unamjua mwalimu anayefundisha somo hilo pia naomba mawasiliano yake.
Sababu ni kwamba nina mabaki ya...
Wakuu nimemaliza chuo kikuu mwaka Jana, Nimepambana kwenye kazi za ujenzi za Mtaani nimeweza kupata pesa kiasi cha laki nane[800,000 Tsh] tu.
Sasa nimekuja hapa mnipe ushauri nikasomee mtambo...
Habari za majukumu watanzania wenzangu na wadau mbalimbali wa elimu. Mimi ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nyanda za juu kusini especially mkoa wa ruvuma na jombe ni Kanda ambayo...
Kama wewe ni mwanafunzi au mtu unayetaka kujifunza kuandaa research na kuzioffer kwenye majukwaa ya freelancing kama upwork, Fiverr na Linkedin lakini huelewi baadhi ya concepts zinazotumika huko...
Kwa mwanafunz aliyepata Mathematics F, Geography E na Economics E je anaweza kusoma Diploma ya Accountancy ila mathematics o level alikuwa na C ya mathematics
Nikiwa elimu ya msingi, nimecharazwa sana bakora kisa namba za Kirumi.
Huku maishani haya makorokocho hayajawahi kuniingizia hata Senti Moja.
Kwanini wizara isiondoe masomo haya yakishenzi...
Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na...
Miundombinu ya vyoo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) haswa upande wa Hostel za Social umekuwa kikwazo kwa wanafunzi wanaotumia hivyo tunaomba mamlaka ishughulikie hili suala kwa afya bora za...
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.