Jamani Nina mdogo angu alikuwa anasoma pale UDSM mwaka 2023/2024 alikuwa 2nd year,alipat changamoto ikamtoa mchezoni akaondoka chuo bila taarifa, Ili akatatue changamoto bahati nzuri/mbaya mtoto...
Wakuu mimi niko Mamlaka ya maji nawafikiria sana TRA, TBS, eGA, TCRA na TANAPA ni ICT afisa, nataka nipambanie uhamisho kwenye hizi taasisi ni ICT afficer II-SOFTWARE DEVELOPER(WEB) hii taasisi...
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.
Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki...
Wizara ya elimu ina maprofesa wapuuz mno.
Inaamini maskini wa Tabata, Buza, Goba, mbezi hawawez kupeleka watoto shule za laki 5?
Mkenda na wezako wa TAMISEMI mnashida ipi? Mkiigeuza Jica...
Mambo wana JamiiForums,
Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi...
Wakuu natumai nyote ni wazima wa afya.
Naomba mnisaidie utafauti wa advanced diploma na postgraduate diploma, Na unatakiwa kuwa na sifa zipi ndo utaweza kusoma kimoja wapo hapo.
Ahsante!
Wakuu naomba kuuliza je kuna tofauti Kati ya hizo academic terms mbili ki Tanzania Tanzania!!?? NA je mtu mwenye stashahada ya juu analipwa sawa na mtu wa shahada??
Habari zenu wapendwa
Naomba kufahamu tofauti iliyopo kati ya advanced diploma na Bachelor degree.
~Ipi ni kubwa kuliko nyingine
~Sifa za kujiunga na kila moja
Ahsanteni na samahani kwa usumbufu
Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic...
Wasaalimu Jamii forum
Mimi ni kijana mwenzenu nasoma india kwa sasa. Ni mwaka wa 4. Nasomea medicine.
Ki ukweli huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu, ambao pia naweza waita wadogo zangu...
Habari, wadau napenda kujua kuhisi hii fani mpya ya data Science kwa upande wetu huku Tanzania naweza kuipata chuo gani nijue.
Chuo kinachotoa fani hiyo
Level (cheti shahada)
Ada
Vigezo vya fani...
Wakuu naomba mnisaidie nikifanya maombi ya cheti cha kidato cha 4 kilichoungua naweza kukipata kwa muda gani?
Najua humu wazoefu wapo na je kama, Nina haraka nacho sana hicho cheti nofanyaje Ili...
Habarini wana jamii
Matumizi ya mtandao wa intaneti hivi sasa ni makubwa sana hapa nchini, si kwa watu wazima tu bali hata kwa wanafunzi. Hata hivyo wanafunzi wengi kwa maoni yangu huwa wanatumia...
Niko kwenye prosses za kusajili taasisi ya kusaidia jamii hasa wanafunzi na vijana walioko kwenye mazingira magumu.
Taasisi hiyo itaitwa NOVA INUA ORGANIZATION (NIO) yenye lengo la kusomesha...
Wanajaamiii naomba mnisaidie kupata msaada wa kujua maeneo ambayo naweza kufanya field mkoa wa mwanza kozi Ni electrical and railway electrifriction engineering 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.