Wana JF,
Vipi, samahani nimeshangazwa na utaratibu wa Chuo cha MUM Morogoro kwamba lectures zinaendelea Jumamosi na Jumapili, kiufupi hamna siku free.
Hii imekaa vipi kitaaluma?
Kama mmiliki wa shule ya sekondari binafsi nchini, nina wasiwasi kuhusu mabadiliko yanayokuja katika mfumo wa elimu, hasa kutokana na kufutwa kwa darasa la saba kuanzia mwaka 2027.
Hii...
Habari waungwana.
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia chuo chochote Duniani ambacho kinatoa free degree online na certificate naomba anisaidie address yake nahitaji kusoma ila mfukoni pesa...
Mdogo wangu anamiaka 17 kahitimu elimu ya kidato cha nne mwaka jana yaaani ni 2024. Lakini haikuwa bahati yake kupata matokeo mazuri kutokana na mambo mengi.
1.Usimamizi mbovu kutoka pande mbili...
Nikikumbuka enzi nipo o level mpaka a level,hakika nilikuwa nawaamini sana walimu wangu wa tuition za mchikichini eg: teacher hidden agenda,mud,osama,mbuga,hawa jamaa ni noma hata walimu wa shulen...
Habari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass...
Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
Kijana wa PCM amechaguliwa mechatronic engineering DMI na ATC. Pia amechaguliwa mechanical engineering MUST
1. Je kati ya Mechatronic engineering na mechanical engineering ipi ni kozi bora kwa...
MABADILIKO MAPYA YA MITAALA YA ELIMU SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO 2025
MABORESHO YA MITAALA AMBAYO YANAENDA KUBADILISHA MFUMO WETU WA ELIMU:
1.Mtihani wa darasa la Saba utafutwa...
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
Habari wakuu,nishaurini kozi nzuri ya kusomea VETA kati ya zifuatazo au kama kuna nyingine nzuri zaidi mniambie kuna ndugu kaomba nimshauri
- Electronics
- Leather goods and shoe making
- Auto...
Hawa huwa wanaenda wapi na mchango wao kwa taifa ni upi maana wana zaidi ya miaka 20 sasa lakini hatuoni impact uraiani, nilitegemea hawa wawe wakombozi wa wenzao lakini maajabu divion 0 zimekuwa...
Napata wasi wasi na elimu hii ya tanzania kila kukicha ikichezewa na wizara ya elimu.
Miaka ya nyuma ilikuwa ni kazi sana kuona kundi kubwa la ufaulu ukilinganisha na leo. Kuanzia shule ya msingi...
Wakuu wangu habari za muda huu,
Naomba kujua changamoto ya kusomea Degree ya Law chuoni na pia soko lake la ajira kwani mimi ni mhitimu kidato cha sita na ndoto zangu ni kuwa lawyer.
Wadau kwema? Naomba kuuliza,wale ambao walituma maombi ya kujiunga na kozi za veta kwa udhamini wa samia mwezi Feb mwaka huu matokeo ya yameshatangazwa?
tangazo lilisema masomo yataanza kesho...
Kwa waliosoma Alpha high school 2012-2014 bila shaka watakuwa wanafahamu balaa la hawa jamii wawili Sunday Mwakipagala na Henry Mwinjoge ambao walikuwa wanasoma EGM.
Jamii walikuwa wanapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.