Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo...
Habarini wana jf,hamjambo?
Kama kilivyo kichwa cha habari,naamini humu kuna wajuzi wengi wa elimu mbalimbali,ni kwamba jambo hili limekuwa likinikereketa kwa mda mrefu sasa,ni hivi huwa...
Kwanza niwape pole walimu na pia wale wote waliohusika hadi kutufikisha hapa na kutupa uelewa kupitia wa elimu.Miaka ya 90 watu walisoma wakubwa lakini walikuwa watiifu sana wa kufata maelekezo na...
Mazeru karate,is a self defense system, that combined techniques from jujitsu,karate,aiki do,Kung Fu and many self defense systems. Students learn to defend against common attack such as punches...
Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa...
Wakuu Baada ya msoto wa miaka kadhaa bila michongo inayoeleweka
Nimeamua kuweka pembeni vyeti vyangu vyangu.
Sasa wakuu naomba msaada nitapata wapi Chuo kizuri wanachofundisha focal lift?
Ada...
Habari zenu wakuu,
Leo tunajadili swali moja kubwa: Je, ili kufanikiwa ni lazima umalize chuo?
Tukiangalia orodha ya matajiri wakubwa duniani, tunagundua jambo la kushangaza – wengi wao walitoka...
Rev.Prof. Philbert Vumilia
Vice Chancellor ,Mwecau: Changamoto za Wanafunzi wa Masters
Chuo Kikuu cha Mwecau kimekuwa kivutio kwa wanafunzi wengi wanaotaka kupata shahada za uzamili (Masters)...
WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUU KWA SERIKALI KUHUSU
MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWA MARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI.
Tunapenda kuchukua fulsa hii kwanza kuomba msamaha na...
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University...
Serikali yetu inahimiza suala la haki, inapinga unyonyaji. Lakini hii imekuwa tofauti katika baadhi ya wahadhiri wa baadhi ya kozi za kiswahili mwaka wa tatu (CoED & Co. Of social sciences)katika...
Hawa mapacha Daniel na Zakayo walisumbua sana hapo St Joseph Millennium mpaka pale alipohamia Simon Mbangalukela na kusambaratisha utawala wao japo haikuwa kizembe.
Mbanga alikuwa anajua sana ila...
Habari wakuu
Natanguliza shukurani
Mimi ni muhitimu wa Diploma in Insurance and Risk Management, but nataka niende degree this year, ila nahitaji kubadilisha course ambayo iko marketable...
Habari nduguzangu,
Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na...
Kumekua na sintofahamu huko duniani inayoonekana vijana wengi wasomi wakisota mitaani kwa ugumu wa maisha kuliko vijana ambao hawajaenda shule au ambao siyo wasomi wa kiwango cha juu .
Wapo...
Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa!
Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana,
Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili!
Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.