Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko...
1: Barabara Mbovu na Mashimo Yasiyozibwa
Mara tu unapoingia kupitia geti kuu la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pale mwanzo kabisa,(njia panda ya chuo) hali ya barabara sio nzuri sana . Barabara ina...
Samahan sana ,,wana jf wenzang nilikuwa naomba mnijuze kuhusiana na hii kozi mpya ya biomedical engineering inayotoa diploma tu kwenye vyuo viwili Tanzania ambapo ni DIT na ATC pekee .Nilikuwa...
Nimepata taarifa miaka kadhaa ya nyuma DIT ilikua inatoa hii course. Naomba kujua kwa upana kidogo inahusika na vitu gani? Kwa wenye taarifa au utaalamu wa hii course pia ajira zake ziko vipi
Tafadhali! naomba ushauri juu ya kusoma diploma kozi ya Biomedical engeering.nimemaliza kidato cha sita PCM nimepata DEE Degree nadhani nafasi ipo kwa upande wa education tu! nami huko sitaki...
Mwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi.
Hii kozi inahusiana na nini?
Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi?
Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi?
Je...
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering.
Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla.
Ahsanteni
wana jf naomba msaada!
kuna kipindi serikali ilipiga marufuku kufundisha tuition mashuleni.
mwaka gani?
nani alikuwa waziri?
sheria( policy) gain ilitumika?
asanteni
Vipo vitabu used vya waandishi wafuatao💃🕺 MEP, TIE, Oxford na Adamson na kireri
Vinapatikana dar es salaam 🇹🇿 vipo vya primary na secondary baadhi karibu sana unaweza kununua Kwa Bei ya jumla pia...
Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi...
Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri...
Nacheti cha diploma ila haina usajili wa nacte una usajili wa veta ila sijasomea veta nimesomea chuo cha kati hapa nilipo so kama sasa vyuo vyote vya sasa vimesajiliwa na nacte kwakutumia cheti...
Habari ndugu zangu katika elimu!
Mimi nimekuja kutafuta ushauri wa kituo gani kizuri kwa masomo ya QT, Kinachopatikana kinondoni, magomeni, Morocco, studio au maeneo karibu na hayo.
Nahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.