Kuna mdogo wangu ambaye amemaliza form four ana ufaulu wa 1.14. ana penda kusoma nursing, radiology au MD.
Je ni bora aende advc au chuo mojakwa moja? Naombeni maoni yenu wakubwa🙏🙏
mimi ni mwanafunzi niliye maliza kidato cha nne mwaka jana nimesoma masomo ya art lakini nahitaji kusomea information technology,je naweza nikasomea ikiwa mimi ni mwana arts
Wazazi wamestuka, Vijana wametuka, zama zimebadilika,
Kwa upepo ulivyo Advance inaenda kupoteza thamani yake, yaweza kugeuka kuwa kapu la taka kwa wanafunzi wanaokosa vyuo.
watu wamepima mzani...
Naomba mamlaka zinazoshughulika na elimu kuanzia Afisa elimu jiji LA Dar es salaam, Afisa elimu mkoa wa Dar es salaam na Waziri wa elimu, mtupatie majibu sahihi ya hiki kinachofanyika Dar es...
Wadau naomba msaada wenu wa kujua tofauti kati ya higher diploma na advance diploma maana hapo awali sikuwahi kusikia kitu kinaitwa higher diploma hapa Tanzania bali advance diploma.
Natanguliza...
Dunia imeamia kwenye Technology na digital transformation.
Hata kwa upande wa Afya tujiandae.
Sehemu ambayo tulikuwa tunahitaji 10 doctors tutahitaji only two, 15 nurses tutahitaji only 5 , 10...
Naombeni msaada wa kupewa ushauri
Binti yangu kamaliza mwaka jana form four; matokeo yake yametoka mwaka huu, kapata Divion one ya point 9
Matokeo ya masomo yake
MATH A, BIOLOGY A ENGLISH A...
Tangu mahafali ya Chuo Kikuu Mzumbe (ndaki kuu) ifanyike tarehe 24/11/2024 mpaka leo tarehe 17/12/2024 chuo kimeshindwa kuwapatia wahitimu vyeti vyao na kila tunapofuatilia majibu yamekuwa...
Chuo cha CBE kimezuia wanafunzi kufanya mtihani wa mwisho kwa sababu hawana bima.
Hii haipo sawa kwani hawajaweka utaratibu sahihi wa kupata hizo BIMA naomba waruhusu wanafunzi tufanye mitihani...
Binafsi naona tunaishi kwenye Nchi ambacho hata ukiulizwa utaje shule zilizoko wilaya uliyotoka huwezi kuzijua;
Nashauri; Kuwe na ukurasa (Data base) ukiingia unapata Shule zote kwa kila mkoa na...
Habari Wana jamvi, tunashukuru Mungu kwa kuamka salama na kwa wale wenye changamoto mbalimbali tunawaombea kwa Mungu awape wepesi kuvuka kipind hiko kigumu,
Back to my topic.
Kuna nafasi 8000...
Habari za Leo wakuu,
Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania?
Na ni ipi ipo wide?
Natanguliza shukrani.
Kuna jambo ambalo nimekutana nalo nikiwa likizo huku Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Mbozi, kuna baadhi ya Shule za Msingi, Walimu wanamiliki mashamba na kuwafanyisha kazi Wanafunzi.
Nimezungumza na...
SUALA LA VYETI.
Utaratibu ambao umewekwa na vyuo vya kati na sera zao unatakiwa kuchunguzwa na kufanyiwa maboresho, hasa VETA.
Haiwezekani mtu amalize chuo na matokeo yatoke halafu akae mwaka...
Shida kama haikupati hutaona ukubwa wake.
Loan board hawatoi fedha za kujikimu kwa wakati.
Wazazi wakishaona tumepata mkopo unakuwa umewatua mzigo na wanajitoa kwenye kukupatia fedha za...
Maisha ya chuo/college yanahitaji kujipanga ili kukabiliana na changamoto, kama wahenga wanavyosema changamoto ni kipimo cha akili. Miongoni mwa changamoto hizo ni chakula na...
Wakuu wasalaam.
Mimi ni mwalimu idara msingi mwaka wa 5 huu kazini.
Kutokana na changamoto za kazi yetu hii nimewaza kujiendeleza kwani sihitaji kubaki hapa nilipo.
Niliwaza kwenda ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.