Hii ni shule ya vipanga tuu inapeperusha bendera ya Mkoa wa Mbeya .
https://www.instagram.com/p/DFKnRXhsulD/?igsh=MTVmc2J1OGY3OHFkMA==
Shule Bora Tanzania nzima 👇👇...
Habari wakuu, dogo amepata Div IV ya 28
Maths F
English F
Kiswahili C
History C
Geography D
Biology D
Civics D
Naomba ushauri asomee kozi gani ? Nataka mpeleka Certificate then Diploma.
Habari za muda huu,
Wengi wetu humu mmesoma na wengine matokeo ya form four hayakua mazuri. Kuna watu wanarudia na matokeo yanatoka mapema tuu..
Kwanini kusiwe na uwezekano wa mitihani ya...
PADRI Daktari Charles Kitima alipoteuliwa kuwa makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Mt Agustino (SAUT), Mwanza mwaka 2004, hakuna aliyekuwa na wazo kwamba miaka kumi ya uongozi wake angeweza kufanya...
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.?
Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la?
Au zamani elimu ilikuwa ngumu?
Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) halijawahi kupata tena Katibu mkuu mtendaji maarufu kuliko Prof. Joyce Ndalichako, huyu mama ilikuwa ikifikia wakati wa kutangaza matokeo ya NECTA ya darasa la...
Hello Wasailiwa Watarajiwa wa Ngazi ya Ualimu katika Utumishi (PSRS),
For those of you preparing for the Utuminshi recruitment exams (both Written Test and Oral Interview), we recommend checking...
Mambo vipi
Mwanangu amepata 1:13 sasa Pysics B, Chem B, Biology B,
Computer A, Math A
Comb PCM imekubalk na PMC
HIVI NIKIMPELEKA PCM form Six
Je hivi ataweza kweli kuwa na machaguo mengine chuo
Wanabodi,
Tupo katika kile kipindi cha mwaka ambacho kama kawaida, tuna rubuniwa kwa maneno matamu. Maneno matamu yanayoweza kutoa nyoka zaidi ya kumi pangoni. Ni kweli, hakuna marefu yasiyo na...
Yamekuwepo mazoea mabaya sana ya kutowafuatilia wanafunzi wanaoshindwa katika mitihani ya upimaji ya kidato cha pili.Yaani mtoto na mzazi wanaamua wenyewe kama iwe mwisho wa kusoma au arudie...
Matokeo ya Darasa la saba hupangwa kwa Mkoa/wilaya kitu ambacho ni kizuri na hata mtu akitaka kuperuzi shule za Wilayani kwake anaweza kuziona zote kwa urahisi.
Au pengine waweke option ya...
To: President, Bishop Wolfgang Pisa, OFM
Tanzania Episcopal Conference (TEC)
Kurasini Centre
P.O Box 2133
Dar es Salaam.
7 January 2025
Mhashamu Baba Askofu Pisa,
YAH: MAMBO YANAYOISIBU...
Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa.
Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa...
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi...
Ni ukweli usiopingika kuwa miongoni mwa nyenzo muhimu katika kujifunza maarifa fulani ni lugha, lugha ndiyo hutumika kuhifadhi maarifa mbalimbali lakini pia ndiyo njia ya mawasiliano. Kila taifa...
Hello habari kuna dogo kaamua kuacha kozi ya clinical medicine na kwenda kozi ya ufamasia ,na alikuwa anafanya vizuri tu sasa ilikuwa anakarbia kufanya mtihani wa cat one mwaka wa pili kaamua...
Salaam jukwaa,
Nimefaulu division3 kwa KemiaD, Biologia C, English C, B/mathD, Fizikia F na mingine yaliyo bakia nimepass naweza kupata nafasi Muhimbili(MUHAS) kuanzia ngazi ya cheti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.