Samahan ndugu zangu,
Napenda tu kujua kwa anayejua hii Mechanical Engineering anisaidie, je mtu aliyesoma degree ya mechanical engineering na aliyesoma diploma ya mechanical engineering kuna...
Africa nchi nyingi zimekuwa zikiamini fimbo katika suala la kifundisha watoto/ wanafunzi kwa miaka kadhaa sasa,
Tangu mkoloni aondoke Africa miaka inakaribia 100 sasa bado viboko vimekuwa...
habari zenu wakuu
ni imani yangu kuwa mko poa
nimekutana na posts za scholarship za hiki chuo kwa jina la Parul University cha huko india
naomba kuuliza kwa wadau wa elimu kama kipo vizur na je...
Salaam!
Katika kutafuta maisha Kuna kipindi unaamua kujitoa kinaga ubaga kutafuta maisha mbali na nchi yetu ya Tanzania Sasa unafikiria utaanzaje kutoka kwenda huko unaamua kujifunza njia za...
Wana JF habari za Weekend?
Naomba kufaham orodha ya vyuo vya Ulaya, Marekani, Asia etc. vinavyotoa online masters courses hasa kwenye masuala ya social science na kozi zingine za management. Vyuo...
The University Grants Commission, the apex body for higher education, on Wednesday published a list of fake universities in the country for the benefit of students.
A total of 21 universities...
Kilicho andikwa hapa Kina ukweli WA asilimia mia.
Anasema " What could be a better prank than making people study for 20 years then never giving them jobs"?
Haya Sasa twende Kazi , kimbia...
Shule zimefunguliwa takribani siku Nne Hadi Sasa na kwa uhakika wanafunzi wa Kidato Cha kwanza Wana miminika mashuleni.
Uhakika uliopo ni kuwa wote wanakuja kuanza mtaala ulioboresha (alimaarufu...
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika...
TELL ME ABOUT YOURSELF - Introduction Formula
Haya, kama kawaida yangu, sitaki ujiingize kwenye njia ya kujikokota na kujitambusha. Badala yake, nitakupa njia itakayokusaidia kutoa majibu sahihi...
Hello Looking for teachers for Pre and Primary English medium school
Requirements
1. Teaching experience with a minimum of 3 years in PRIVATE primary or Secondary schools
2. Diploma or degree...
Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃,
Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping...
Mkuu Twende Wote Hapa😁
If you're preparing for a teaching interview, you're about to embark on an important journey that can shape your career. Whether you're new to teaching or an experienced...
MEMBER OF PARLIAMENT CV
GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
First Name:
Adam
Middle Name:
Kighoma Ali
Last Name:
Malima
Member Type:
Constituency Member
Constituent...
System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania
Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM
Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia...
Haya ndugu zangu kama kawaida yangu ikitokea fursa nawatonya.
Wengi waliniuliza kuhusu undergraduate, haya fursa ndo hiyo ya kwenda uturuki.
Application ni simple sana just visit website Yao, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.