national examinations council of tanzania
csee 2011 examination results
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIACSEE 2011 EXAMINATION RESULTS
S3548 MIDWAY SECONDARY SCHOOL DIV-I = 0 DIV-II =...
Wakuu! Habari za asubuhi? Naomba kwa yeyote mwenye soft copy ya kitabu tajwa hapo juu "stop lying to yourself" kilichoandikwa na Simon Gilham anisaidie. Natanguliza shukrani.
Elimu sio kusoma tu, kuna mazingira ya kusomea, walimu kusaidia wanafunzi, teknolojia, n.k.
Kusomesha mtoto ni kumweka katika mazingira salama ya kusoma, awe na walimu wanaotimiza wajibu...
*THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS
1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC
Focusing on teaching methodology and application mastery assessments.
To answer effectively, you should have...
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.
Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani...
Kero yangu:
Shule ya Sekondari Irugwa inawataka wanafunzi wanaoripoti kidato cha kwanza kwenda na Rimu 1, pia mwanafunzi anapofika kidato cha 3 anapeleka tena Rimu.
Bado kuna michango kama vile...
Nimezoea kuona watu kwenye field ya Academia wakiwa wanapata promotion ya kutoka Udokta na kuwa Associate Professor ambapo baadae atakuwa Full Professor.
Vigezo ambavyo nimezoea kuviona...
Habari za sahivi wana JamiiForums,
Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi?
Msaada tafadhali
Habari za asubuhi wanajukwaa,
Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya...
Ukweli ni kwamba mtoto haitaji kujua kuhusu Farady’s law, ohm’s law nk. ili kujua jinsi motor inavifanya kazi au jinsi motor inavyosukwa, ukweli ni huo!
Haya yafanyike kwa haraka!!
Tutaona...
"Baba kama Pascal mtoto wa baba mkubwa amesoma degree ya uchumi anauza matunda barabarani na rafiki yake kasomea ualimu anaendesha boda boda kuna haja gani ya mimi kuenda kusoma wakati naweza...
Wakuu heshima kwenu.
Nina vitabu vyangu nahitaji kuviprint. Tafadhali mwenye kujua kampuni nzuri au mtu mzuri kwa hapa Dar Es Salaam ninayeweza kufanya naye kazi haraka anipe muongozo tafadhali...
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical.
Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa...
1. FARMING: Neolithic Revolution (14,000 years ago,). This IDEA helped to change the life of human being and civilization.
2. THE UNCONSCIOUS MIND: This IDEA was suggested by father of...
TaiwanICDF Scholarship is now open till 1st march.
The scholarship is full funded for masters and PhD and covers flight expenses go and return.
The programs are English taught. It's so easy to...
Jamani,
Hivi suala la kujengea Wanafunzi vyoo ni la wakina nani? Maana kuna shule moja Wilaya ya Missenyi Mkoani Kagera inaitwa "Mugana A" kwakweli hali sio nzuri.
Vijana hawana vyoo salama...
Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.