Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
22 Reactions
330 Replies
28K Views
Wakuu naombeni mnifahamishe vizuri kuhusu hii course kwa upande wa ajira maana kuna ubishi fulani umejitokeza na jamaa zangu wanasema eti haina ajira
0 Reactions
34 Replies
17K Views
Habarini wakuu, Hivi watu wanaosoma Health Service Management wanafanya kaz zipi baadae?
1 Reactions
33 Replies
16K Views
Wakuu naomba kuuliza kwamba n sifa gani anaruhusiwa mtu aliyesoma hgl kusomea health management mana form four nilipata alama zifuatavyo nikapangiwa hgl Civ b Bioc b Lang b Chen c Geo c Kisw c...
1 Reactions
39 Replies
13K Views
Naombeni tathimini ya ajira kwa waliosoma Public Health, inalipa mtaani au ni mwendo wa kumaliza viatu kwenda kuomba kazi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
41 Replies
10K Views
Leo Mr. Chromium nina Swali kwa Watanzania. Naandika sana maswala ya Geopolitics leo tuongelee maswala ya kijamii. Kwanini Watz wengi wanaenda kujiendeleza Uganda hasa Makelele University? Je...
7 Reactions
47 Replies
8K Views
Hello guys wa jf tumekua tukishauriana vingi na nilitamani tena mnipe mawazo. Nipo chuo diploma ya kwanza IT chuo Fulani Nina umri wa miaka 20 ila kadri siku zinavozidi kwenda sio siri napoteza...
5 Reactions
7 Replies
429 Views
Lets write "I love you" in as many languages as we can. Kiswahili: Nakupenda Kiarabu: Ana Ahibbak Kwa Kichaga....., Kihaya.....,Kinyakyusa...., Kisukuma.....,Kikwere...., Kinyamwezi...
0 Reactions
27 Replies
40K Views
Mwandishi mahiri wa vitabu vya lugha ya kiingereza, mmiliki wa shule ya Perfect Vision na Mwanasiasa mahiri tutakukumbuka daima. SAME MASHARIKI tumepata jembe 2025-2035.
1 Reactions
6 Replies
358 Views
Nina swali kuhusu program tajwa hapo juu hususani kwa mtu aliyepitia Doctor of Medicine (MD) kama undergraduate. Requirements ni zipi? Je inampasa graduate wa MD kutimiza mwaka mmoja wa...
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Wasalaam wana jamvi! Mimi ni kijana ambaye baada ya kumaliza degree yangu mwaka juzi nikaunganisha kusoma master. Kwa sasa nasoma master of public health (MPH) hapa Muhimbili nategemea kumaliza...
2 Reactions
69 Replies
16K Views
Habari, naomba kufahamishwa ni vyui gani kwa hapa Tanzania vinatoa degree ya public health?
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Nisiadie kunijulisha wapi ntavipata vitabu hivi!
1 Reactions
2 Replies
226 Views
Habari za muda ndugu zangu. Binafsi nimewiwa sana kujiendeleza kwa kusoma Masters katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwani mbali na ubora wa elimu inayopatikana napo na...
2 Reactions
6 Replies
726 Views
Habari zenu wana JF Ebwana nilikuwa mada moja muhimu kuhusu Universities za Tanzania. Wanafunzi wengi wamekuwa wakicopy ( plagiarism) kutoka kwenye vitabu au article mbalimbali wakati...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanzania Ina shida kubwa ya Walimu mahiri wa Kingereza. Sasa kusomesha Watoto kwenye shule za English Medium za Kibongo ambazo walimu ndio hao wa 'the' nk ni kupoteza pesa maana mwisho wa siku...
15 Reactions
51 Replies
4K Views
Kwema wana JF, Nataka kujua hivi waliomaliza form 6 kama private candidate kuna uwezekano wa kuchaguliwa kwenda JKT,au wanachukua wa shule za serikali tu?
5 Reactions
7 Replies
336 Views
Habari za muda huu ndugu zangu, Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
Naomba msaada wa kujua kiwango cha mshahara wa mkufunzi wa chuo cha ualimu kwa mtu wa kiwango cha shahada jamani hasa waalimu wapya waliopangiwa kazi mwaka huu
2 Reactions
42 Replies
17K Views
Back
Top Bottom