Nimeambiwa ni kozi nzuri na inapatikana mzumbe.
Napenda kufahamu juu ya upatikanaji wa ajira na mishahara kama unafahamu.
Nb:[emoji120] naomba tu mnijibu kistaarabu najua tuna hasira na mambo mengi.
Je, Hili jina la scholarship ni sahihi?
Je, Marais wengine walipewa majina kwenye mkopo ambao fedha ni za walipa kodi?
Je, nani alaumiwe, kama kuna lawama, kwa kila kitu kukiita ch aRais hata kama...
Wanafunzi wa shahada mwaka wa kwanza 30,311
Wanufaika 2,157 mikopo ya ‘Diploma’
Wanafunzi 588 kunufaika na ‘Samia Scholarship’
TZS 99.7 bilioni kutumika kuwagharimia mikopo, ruzuku TZS 2.9...
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!
Ila hakuna disbursement wala check number.
Na hujapata message ya boom...
NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani.
Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina...
Utangulizi
Katika ulimwengu wa elimu ya juu, umuhimu wa kuwasilisha kazi za kitaaluma zisizo na plagiarism hauwezi kupuuzwa. Plagiarism si tu kosa la kimaadili bali pia linaweza kuathiri vibaya...
Utangulizi
Wanafunzi wa postgraduate mara nyingi wanakabiliwa na kazi nyingi za kitaaluma, ikiwa ni pamoja na assignments ngumu zinazohitaji utafiti wa kina na uwasilishaji wa maudhui ya kipekee...
Habari zenu wakuu?
Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering.
Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko...
Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
Kadhalika Bodi ya...
Serikali inawapangia wanaomaliza form four kwenda kusoma diploma either ya nursing, clinical officer, pharmaceutical science, tena wanahitaji Mwanafunzi awe na D 4 tu.
Mdogo wangu form four...
Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri.
Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda...
Wadau, nimejaribu ku'attach' doc hii nimeshindwa. Nimeamua niipaste hapa:
WARAKA WA WANAFUNZI WA ELIMU JUU KWA SERIKALI KUHUSU MIGOMO NA MAANDAMANOYA MARA KWA MARA VYUO VIKUU HAPA NCHINI...
Wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu.
Naomba kuuliza Kwa anaefahamu majina ya waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya veta January 2021 lini yatatoka?
Maana tuliambiwa tarehe 1/12/2020...
Kuna chuo kinaitwa Ebonite cha Kimara Bucha kinatoa Diploma ya Ualimu kwa Kiswahili.
Hii diploma ni halali na nikitaka kuthibitisha uhalali wake nafanyaje!?
Mimi ni Mwanafunzi nimehitimu katika Chuo cha Mipango Dodoma Mwaka 2024, changamoto tuliyoipata ni kwamba baada ya Serikali kutuongezea hela ya ada Wanafunzi tuliyokuwa tumeshalipa hatujarudishiwa...
Wizara ya Elimu imelitataja somo la Hisabati kama ni Janga la Taifa
Tuanzie hapa, najua kuna wakali wa hesabu humu Jamii Forum
Tuanzie hapa kutoa msaada wa bure(Tuisheni) ya Hisabati kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.