Jamani Mimi ni form six leaver nliepata BCC Kwa PCM Nikaomba vyuo katika order hii
Civil eng-udsm
Electrical eng-udsm
Pharmacy-mumbl
Ofcoz sikuchaguliwa ila nnachoshangaa ni machali zangu wenye...
Wakuu kwema.
Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV.
Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc...
Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila...
Kwema?
Niende kwenye mada.
Mimi kazi yangu nalipwa mshahara laki tatu 300k nipo DSM lengo la kuandika juu Uzi nataka nikasomee hiyo kozi hapo juu kuendesha mitambo ya bandari. Nimepata chuo kipo...
Wanajamvi:
Binafsi ni msomaji wa vitabu mbalimbali vya maudhui ya jumla (general knowledge), lakini bado naamini kuna vitabu vizuri na watunzi wazuri ambao sijapata kusoma vitabu vyao. Kwa...
Wakuu habari zenu,
Naomba kujua shule za advance za private zenye performance nzuri kwa mchepuo wa PCM hapa Dar ama Mwanza au popote hapa bongo lakni ada yake iwe chini ya 2 Million.
Asanteni...
Wakuu habari. Wote tunafahamu changamoto ya kumtafutia mtoto shule nzuri ya Secondary.
Kijana wangu anamaliza darasa la saba wiki hii. Naombeni recommendations za shule nzuri maeneo ya Same na...
Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia...
We're a registered Non-Governmental Organization dedicated to fostering professional collaboration, career advancement and job creation among Tanzanian professionals. ResearchLink International...
Habari.
Nahitaji shule ya sekondari ya O level ya wasichana au mchanganyiko inayomilikiwa na masisita yenye malezi na mazingira mazuri tofauti na st.Monica na Precious blood. Kama mwanao anasoma...
Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba...
Wadau mimi ni mwanachuo nasom bachelor of science in chemistry mwaka wa pili lakini sioni future katika hii kozi kutokana na uhaba wa ajira na msoto wa waliomaliza naombeni ushauri
Utangulizi:
Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za...
Kama head inavyojieleza, hivi kuna uwezekano mdaiwa akaangalia deni analodaiwa HESLB pasipo kwenda ofisini kwao?
Na kama hakuna huo uwezekano kwanini wasiweke mifumo online watu tukawa...
HABARI wadau KATIKA jukwaa hili adhimu, Mimi ni mwajiriwa KATIKA kada ya elimu kwa masomo ya English and literature in English na ufaulu wangu kwa chuo haukuwa mzuri sana nilipata GPA ya 2.8 lower...
Mimi ni mwanachuo ninasoma bachelor of science in chemistry mwaka wa pili ila sioni future katika hii kozi kutokana na ugumu wa ajira kwa hii kozi naomba ushauri wenu