Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Ni kweli mtoto wako ana akili kwa sababu anapata A. Na hapo unaanza kumkaririsha kuwa atakuwa daktari, injinia n.k Mbele ya safari anajua kuwa na uwezo mkubwa lakini hafanikiwi kufikia yale...
2 Reactions
4 Replies
237 Views
Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenye anajua chuo chenye kozi ya Diploma ya Economics msaada tafadhari hasa university
1 Reactions
8 Replies
382 Views
Habari za muda wanaJF, Mimi ni kijana nimemaliza form six mwaka huu 2024, matokeo yangu kiufupi yalikua kama ufuatavyo. Chemistry - E Bio - E Geography - D BAM - E G.S - D Sema kweli matokeo...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kama kuna mtu ameweza kukamilisha ujazaji wa taarifa za maombi ya mkopo elimu ya juu. Takribani wiki sasa Najaribu kumuombea kijana wangu lakini kipengele cha demographic...
3 Reactions
98 Replies
8K Views
Wana JF, Mwaka Jana niliomba mkopo na nikapewa ila kutokana na matatizo binafsi ckuweza kwenda chuo Sasa Mwaka huu nimeapply mkopo tena ukagoma naambiwa nilipie asilimia 25 ya mkopo niliopewa hio...
2 Reactions
16 Replies
728 Views
Waliowahi kuishi udom vitu gani Vina waarudisha wanafunzi wengi nyuma kitaaluma?
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Anonymous
Selection za chuo kikuu hazijawatendea haki baadhi ya waombaji, Kuna mwombaji ameandikiwa Hana sifa Kwa sababu alifeli somo Moja la core ilihali alifaulu somo hilo. Pia baadhi ya vyuo kama UDSM na...
1 Reactions
3 Replies
294 Views
Ninaye classmate Wangu jaman yeye kachaguliwa bachelor of laboratory science and technology na education ya science. Sasa hajui aendako ni wapi kaniomba ushauri na mimi nimeleta kwenu wana JF
5 Reactions
15 Replies
680 Views
Kama uzi unavyosema hapo nimemaliza Diploma ya NURSING AND MIDWIFERY Ufaulu GPA 4.8 Nina malengo ya kusoma MUHAS AU UDSM, nimejaribu kupitia guidebook nimeona kuna course naweza kuapply kupitia...
5 Reactions
41 Replies
2K Views
Kwema. Nina mdgo wangu anataka kusoma KOZI ya community development Kwa level ya cheti binafsi nilipenda asome procurement . hii ya community binafsi naona kama uwanja wa kupata kazi ni mgumu japo...
3 Reactions
13 Replies
841 Views
Habari, Mtu aliyetoa taarifa ya kutohudhuria SUPPLEMENTARY lakini hakujibiwa mpaka muda wa mtihani huo unafika na kupita naweza kuendelea na masomo?
2 Reactions
13 Replies
378 Views
Wakuu habari.. afanye confirmation kozi gani kati ya hizo mbili yenye fursa ya kuajiriwa na kujiajiri. Ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
208 Views
Kama unavojua kusoma ni jambo la muendelezo unapopata fursa soma tu, kama mnavojua mimi ni mwalimu wa ngazi ya digrii katka masomo ya sayansi lakni nataka kuongeza kpato na ujuzi wa kula pesa za...
4 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari za jioni wana JF ..nipo katika njia panda kuchagua kati ya Business administration au Economics ili niweze kuisoma , ningependa kufahamu au kupokea ushauri kutoka kwa wana JF. Ipi inafaa...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za kazi wana Jf, Tunajua kuna level nne za shule (secondary/Ordinal level) hapa kwetu Tanzania 1. Special (Vipaji maalumu) 2. Technical (Ufundi) 3. Boarding (Bweni kawaida) 4. Teule (shule...
15 Reactions
217 Replies
13K Views
Mimi nina elimu ya kidato Cha SITA ambapo nilisoma PCB na nikipata daraja la pili nikiwa na D flat. Nimehitimu kozi ya Utabibu [Clinical Officer] ambapo nimepata wastani wa B+. Nahitaji kusoma...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wanajamii nipeni njia za kupata Scholarships za masters degree USA
1 Reactions
1 Replies
230 Views
Gharama za masomo kwa vyuo vya afya apa Tanzania zipoje kwa mwaka 2024/2025
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom