Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
Yani Shule za Advance wanapangiwa waliopata Division I and II ila kwa Wasichana hadi Division III wanaenda Advance alafu ni haki sawa mbona sijaelewa hapo anaejuwa kuhusu hili msaada jamani.
Salaam wana jukwaa.
Naomba kujua shule za A-Level (form 5 & 6) za serikali ambazo zinafanya vizuri katika combination ya PCB (Physics, Chemistry na Biology).
Binafsi tayari nazijua Tabora...
Awali ya yote naomba nimshukuru mungu kwa kupasua ile paper kwa maana UNIVERSITY ningeisikilizia redion tu na kidiploma changu cha ualimu
Sasa ndo muda wangu Wa kuacha fan ya ualimu na kwenda...
Naombeni ushauri juu ya Tution center gan nzuri ya kusoma CPA nataka nianze ili mwezi wa 11 nifanye mitihani na pia nichukue masomo mangapi ili nifauli bila wasi wasi. Location nipo Dar es salaam...
Naomba kuuliza mwenye ana details za kutosha kuhusiana na Bachelor of Science in Health Information Science pamoja na soko lake pia likoje.
Nilitaka kusoma hiyo bachelor ya HIS.
UDOM chuo chetu kizuri sana ila kina waajiriwa wahuni sana wasiojali wateja wao.
Watu wameshikiliwa matokeo yao na hawadaiwi hata mia, Utaratibu wa chuo unajulikana huwezi kuingia chumba cha...
Ndugu wana JamiiForums naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya Environmental Science vs Biotechnology and Laboratory Science. Niko dilema nisaidieni idea.
WADAU natumai wote hamjambo, shida yangu hapa mweye kuwa na pdf ya MWENE'S ROUGH DAY (story book) tafadhali naomba
Dogo alipoteza Kitabu cha shule wamemkazia hadi akilipe. Nimekisaka hadi nimechemsha
Mwaka wa masomo 2024/2025 umekuwa wa tofauti kuliko miaka nyumba, kupitia wizara ya Elimu kumekuweko na mabadiliko ya kimitaala katika uendeshaji wa Elimu yetu. Moja ya madiliko ni kuwekwa Kwa...
Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo.
Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala...
Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo...
Nilikuwa naomba uelewa kuhusu Kozi ya BSc in physics and chemistry inayotolewa udsm kama naweza kusoma. Ufaulu wangu nimepata one ya sita, physics B, chemistry A na education C
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeumia kweli. Nipo na rafiki yangu ananiambia habari za mtoto wake Umri miaka 7.
Karudi mtoto huyo amwambia babake kuwa kamsikia mtu mmoja huko mtaani akimwambia...
Habari wakuu. Kuna mdogoangu alifanyiwa application za chuo cha afya cha diploma (nacte) lakini kachaguliwa ambacho ni cha private na pia ada yake ni kubwa tunataka kumbadilishia au tuanze upya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.