Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

WANAVYUO TUSIISHI KAMA HATUTAHITIMU. Zama zimebadilika sana kiasi kwamba muhitimu wa chuo wa sasa ni kawaida kukaa nyumbani zaidi ya mwaka akisubiria ajira ambapo kipindi cha miaka kadhaa ya...
4 Reactions
3 Replies
340 Views
Moja ya mambo yanayosumbua ni mtu kufatilia upatikanaji wa cheti chake, either cha form four au cha form six. Sasa kuna watu wamesoma mkoa wa tofauti na makazi yao. Mfano, mtu amesoma Dar lakini...
2 Reactions
1 Replies
188 Views
Ni vitu gani vinakwamisha kitabu kusonga mbele ukiwa chuo kikuu mfano UDOM?
4 Reactions
10 Replies
348 Views
Jamani mi nauliza hivi kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa? Na mtu akisoma hii kozi anakuwa nani au fursa zake zinapatikanaje?
2 Reactions
5 Replies
391 Views
Naomba nikueleze ukweli wako. Kuna aliyekuumiza lakini hukupenda kulia hadharani ili usimfaye awe kumbukumbu za uchugu na majuto kwa sababu ulimpenda sana. Naamini ulimfundisha tafsiri ya...
2 Reactions
1 Replies
144 Views
Uchi Mwili Naomba uniache mimi, Bado nazangu nyingi hamu, Maneno atoa ulimi, Angalau uone yangu elimu, Nafsi Nisikilize wangu mwili, Ni yangu zamu, nafsi, Kusitiri wangu...
1 Reactions
0 Replies
146 Views
Mimi ni mwanafunzi ninayechukua kozi ya bachelor ya fizikia hapa chuo Cha Harvard nchini Tanzania. Nimespecialize kwenye kitengo Cha medical physics. Kwa ufupi medical physicist anafanya kazi...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wasalaam? Ungana na kichwa Cha habari hapo juu,Mimi ni kijana form6 leaver(PCM )nilikua naomba ushauri kwa course ambazo ni nzuri kwa kusomea na rahisi pia katika kujiajiri ukizingatia suala la...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanaJF, Machi 21 inaaminika kuwa ni siku ambayo Jua (The Sun) linapita sawia na mstari wa kubuni wa kijiografia wa Ikweta. Kwa mnasaba wa tukio hilo siku hii huitwa "Siku ya Jua la Utosi"...
2 Reactions
5 Replies
33K Views
Mwaka juzi (2016), Chama cha Hisabati Tanzania (CHAHITA / MAT) kilitimiza miaka 50 na kuchapisha muhtasari ya mafanikio yao kipindi hicho. Kwenye hilo chapisho (MAT Bulletin 2016) kuna orodha ya...
3 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari wakubwa, Kwa heshma kubwa naomba ushauri Kwa Binti /kijana wetu anahitaji ushauri wa ki confirm kozi ambayo itakuwa Bora Zaid kwake Kwa ambazo amechaguliwa. Kozi zenyewe ni kama...
1 Reactions
18 Replies
984 Views
Kwa heshima Nawaamkia; Huyu ni binti amehitimu form 4... Ni mdogo wangu ananifata mara tatu..matokeo yake ni kama ifuatavyo; Kiswahili C Kiingereza C Uraia C History D Biology C Chemistry F...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Majina ya waliodahiliwa round 1
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana Jamii naomba msaada, Dogo kapewa codes kutoka TCU ili aziweke akiwa ana confirm kuchagua chuo. Amekuwa selected UDSM, ila akiweka hizo codes UDSM wanasema ziko invalid. Tumejaribu kuwapigia...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Niambieni namna ya kufnya kama chuo kimekuchagua kimoja alafu kikajicomfirm chenyewe na wewe hukitaki
2 Reactions
8 Replies
408 Views
Habari wakuu, Naomba taarifa kuhusiana na kozi ya bachelor in information systems management inayotolewa ardhi university kuhusu sehemu za ajira ambazo unaweza kuajiriwa pamoja na vitu unavosomea...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nimekuja kuomba msaada wa kunisaidia nisome ipi kati ya kozi hizi na vyuo hivi 1.Bachelor of arts in Economics _Ardhi university 2.Bachelor of Economics and finance _IFM 3.Bachelor of...
1 Reactions
13 Replies
643 Views
Naombeni mnijuze kuhusu kupata mkopo katika kozi ya BBA hasa katika chuo cha UDSM
2 Reactions
8 Replies
461 Views
Ndugu zangu, mimi ni kijana ninayetamani kusoma lakini hali ya kiuchumi sio shwari. Niiliapply vyuo mwaka huu na nimechaguliwa diploma katika vyuo vifuatavyo. Ninaombeni ufadhili nikasome, pia...
1 Reactions
17 Replies
730 Views
Back
Top Bottom