Habari,
Naomba msaada kwa mwenye ufahamu na hili, kuna dogo hana baba (amefariki) na cheti cha kifo kimekuwa na mzunguko mrefu, hadi muda huu bado hajakipata na siyo rahisi akipate hivi karbu...
Hello JF members,
Nimefanikiwa kuchaguliwa na moja ya vyuo vikubwa hapa nchini kujiunga na mwaka wa masomo 2024/2025 ngazi ya Cheti.
Sasa kwenye account yangu ya maombi katika chuo hicho...
Ni kawaida kwa walimu wanaotarajia kufanya aptitude test kuwa na maswali mengi juu ya nini cha kutarajia na wapi pa kuanzia maandalizi. Japokuwa hakuna majibu maalum au sahihi ya nini hasa...
Je, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Msaada, hivi naweza maliza mechanical engineering diploma nikaenda soma civil engineering nakuwa nachanganya civil engineering pamoja na mechanical engineering katika kazi uombaji.
Wakuu samahani mdogo wangu kachaguliwa diploma ya radiography chuo cha kikatoliki cha sengerema hii kozi ikoje maana wamechaguliwa 20 tu ni kozi salama au kadandia mtumbwi wa vibwengo, Mwenye...
Mwanafunzi amefaulu kidato cha sita PCM kwa kupata D-Physics, C-Chemistry, C-Mathematics sasa anaomba ushauri wa chuo sahihi kizuri cha kusoma BSc in Civil Engineering kati ya hivi vifuatavyo...
Habarini wana jamvi, natumaini mu wazima.
Msaada tafadhali.
Ningependa kujua kwa nini status za wanafunzi kwenye website ya NACTE imetofautiana.
Kuna walioandikiwa submitted na wengine...
Nia yangu kubwa ni kwenda kusoma MASTERS nje kwa njia yeyote ile ambayo haihusishi matumizi ya njia haramu yoyote, Sasa nimeongea na wazazi wamekubali kuweka nyumba dhamana nipate mkopo bank wa...
Technology ni kati ya field ambazo inakua na kubadilika kila siku. Na hii imefanya watu wengi wawe interested nayo, maybe it's because of how big an impact technology has in our lives au the way...
THE APTITUDE TEST OVERVIEW
(Written Aptitude Test): Mtihani wa Uwezo: Maelezo, Utaratibu wa Kujiandaa, na Angalizo Muhimu by Josephat.
1. Nini Mahana ya Mtihani wa Uwezo (Written Aptitude Test)...
Msichana kachaguliwa DIT-Bachelor in Computer Engineering na MUST-Bachelor of Technical Education in Civil Engineering. Je mnamshauri athibitishe kujiunga na chuo kipi kati ya hivyo?
Wadau wa elimu ushauri wenu kuhusu kozi ya kuchagua Kati ya hizo alizochaguliwa na hivyo vyuo.
1. TIA & IFM DAR ES SALAAM (ACCOUNTING)
2. CBE DAR ES SALAAM (ACCOUNTING & TAXATION)
3. JORDAN MORO...
Kichwa cha habari usika,
Naomba ushauri kwa wanaoifahamu vizuri shule ya secondary ya Jitegemee au mnaweza nishauri shule nyingine kwa watoto wa kike au mchanganyiko na ada ya kawaida kwa mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.